Niko njia panda, niende UDSM au DIT?

Niko njia panda, niende UDSM au DIT?

Ukitaka kupata tu sifa ya cheti kuwa na Wewe umesoma UDSM nenda hapo ila ukitaka kupikwa na kupata elimu nzuri na itakayokufanya uwe marketable hasa katika engineering nakushauri nenda DIT na ukimaliza masomo yako hapo utakuja kutushukuru wote humu tuliokuambia uende DIT. Kila la kheri Mwana taaluma mtarajiwa na ukaze msuli kweli Kijana hapo DIT utafika muda hata muda wa kuoga na hata kupiga mswaki tu huna kwa msuli wake wa kutukuka.
Kwa hiyo akawe engineer mchafu?
 
Back
Top Bottom