Niko na furaha sana leo, Niko comfortable

Niko na furaha sana leo, Niko comfortable

PM ya Marry;
EC7F4FD9-B0B7-42A0-80C4-8625660F696D.png
EC7F4FD9-B0B7-42A0-80C4-8625660F696D.png
 
Uko kwenye siku za kushika ujauzito my dear,ndio maana una furaha na una nguvu za kufanya kazi. Kuwa makini,ukicheza tu imooo hata P2 itagoma
 
Shikamooni wakubwa kaka, dada zangu na wengine.

Mmh Leo Nina furaha nimeamka tangu alfajir najikuta nina mudi ya kazi ,mpaka saa moja kamili nilishamaliza kila kitu kuanzia kufua , kufanya usafi wa nyumba na kila kitu.

Na nilivyo peke yangu leo basi tu najikuta mwenye furaha hata sijui inasababishwa na nini, huenda Mungu kaamua kunipa upendeleo leo, ila mbona kama kuna kitu namisi?

Yaani furaha haikamiliki,ngoja nijipumzishe Kwanza Kwa najua shetani anaweza kuniharibia , zawadi hii ya leo.

Karibuni wanajukwaa tufurahi
Niwapenda mdogo wenu❤️❤️❤️
Hiyo inaitwa mania ni Bipolar Disorder hivyo una tatizo la afya ya akili.

Mbali na hizo mood swings pia watu wenye tatizo kama lako huwa pia wana higher level of libido.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom