Niko na furaha sana leo, Niko comfortable

Niko na furaha sana leo, Niko comfortable

Wewe ni mlemavu,
Wewe ni mchafu,
Wewe Una roho chafu,
Mtu yeyote mpiga puchu ana roho chafu na adhabu yake ni kifo.

Mungu alimuua Onani Kwa kudondosha shahawa chini,ni bora uwe Malaya mara 10000 lakini sikuwa mpiga puchu .

Huwezi kukaribiana na mimi
hata nikija sijui kama utauhimili mtalimbo wangu bibie. Ni mweusi mrefu na mnene.
 
Shikamooni wakubwa kaka, dada zangu na wengine.

Mmh Leo Nina furaha nimeamka tangu alfajir najikuta nina mudi ya kazi ,mpaka saa moja kamili nilishamaliza kila kitu kuanzia kufua , kufanya usafi wa nyumba na kila kitu.

Na nilivyo peke yangu leo basi tu najikuta mwenye furaha hata sijui inasababishwa na nini, huenda Mungu kaamua kunipa upendeleo leo, ila mbona kama kuna kitu namisi?

Yaani furaha haikamiliki,ngoja nijipumzishe Kwanza Kwa najua shetani anaweza kuniharibia , zawadi hii ya leo.

Karibuni wanajukwaa tufurahi
Niwapenda mdogo wenu❤️❤️❤️
Marry Diana mi mwenyewe Nina mood balaah
20260309_183902.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom