Niko kwenye mood ya malavedavi

Niko kwenye mood ya malavedavi

waona unavyonidanganya hash????? tena watia kusema enheee,,,,yaani mana umekumbuka,,,,,haya na mi nakuona kwenye chupa kabla hujaingia kwenye glass
haya mamiii....nisamehe mwenziooo...nilipitiwa tu kidogo....enhee....mwenzio nikinywa maji nakuona ndani ya glass.
 
Tangu nimepigwa kibuti mwezi wa nane sikutamani tena kuwepo kwenye uhusiano.
Lakini sasa najisikia nina hamu ya kupendana. Tena nimpate wa kumpenda kwa dhati, nimpe moyo wangu wote, awe rafiki yangu na furaha yangu.
Tucheze wote mvuani, tuangalie pamoja jua likiwa linazama, akiumizwa tulie pamoja, akitoka niwepo pembeni yake kama handbag.
Dah...
Kweli mapenzi raha, nimemiss mapenzi
hahaaaaaaaa.....

they say you just need to love a little... say 60% and retain the rest for yourself; hii itakupunguzia sana presha na maumivu ya kupigwa kibuti

Godd luck with all new vigor in you
 
hahaaaaaaaa.....

they say you just need to love a little... say 60% and retain the rest for yourself; hii itakupunguzia sana presha na maumivu ya kupigwa kibuti

Godd luck with all new vigor in you

Cousin thanx hapo nimekupata vizuri sana i have learnt something from that statement
 
the game will start after ur afrodenz kuwakilisha maneno yake hapa,,,,, be prepared men ..

ngoja jae leo patachimbika hapa aisee ndio maana tulipokuwa nyumbani kila tukitaka kununua kitu yeye anasisitiza twende kwenye duka la hashy ndio ana bei nzuri atatupunguzia kumbe wana lao jambo ngoja
 
alaaa kumbeeee.........
ngoja jae leo patachimbika hapa aisee ndio maana tulipokuwa nyumbani kila tukitaka kununua kitu yeye anasisitiza twende kwenye duka la hashy ndio ana bei nzuri atatupunguzia kumbe wana lao jambo ngoja
 
mimi nasubir afro aamke au sijui nikamuamshe kinguvu huko kitandani maana doh!!! Nafa na presha siku si nyingi

taratibu kaka nakusoma tu we haya....afro mi ni dada angu pande wa shangazi tumbo moja moja na bibi mpwa wake hamid yaani hami yake rashid upande wa kaka yake na dada......ni hivyo tu basi
 
lol!!!!!!! hakuna leo kama dada ako mkutane uchii??? tena nyamaza hashy... we tulia hapa ngoja mi nikamtafute huyu bi dada kweny thred jiran lazma na ye atakuwa akutafuta tuu we kaa hapa hapa....
taratibu kaka nakusoma tu we haya....afro mi ni dada angu pande wa shangazi tumbo moja moja na bibi mpwa wake hamid yaani hami yake rashid upande wa kaka yake na dada......ni hivyo tu basi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom