The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
yaaaaapp..
Mapaka mwakani ndo kutaanza kuchangamka tena lol
nway mi borea niende kulala saa 10 asubuhi sasa..
Ntaingia hapa kesho kwa muda niwaage vizuri....
Take care😛arty:
Hivi wewe hujui tu kama hizo hisia ni very temporary! I guess una hamu tu ya kudinya. Jichunguze moyo wako halafu jaribu kupata mtu wa kudinyana then baada ya kudinya uone kama bado hisia hizo zipo. Wacha kuweweseka kijana..Tangu nimepigwa kibuti mwezi wa nane sikutamani tena kuwepo kwenye uhusiano.
Lakini sasa najisikia nina hamu ya kupendana. Tena nimpate wa kumpenda kwa dhati, nimpe moyo wangu wote, awe rafiki yangu na furaha yangu.
Tucheze wote mvuani, tuangalie pamoja jua likiwa linazama, akiumizwa tulie pamoja, akitoka niwepo pembeni yake kama handbag.
Dah...
Kweli mapenzi raha, nimemiss mapenzi
ndio desi...saita....garmila?
Tangu nimepigwa kibuti mwezi wa nane sikutamani tena kuwepo kwenye uhusiano.

popote utakapo kuwa panda daladala ya sinza mwambie konda unashukia kwa bi nyau
ukifika utakuta watoto wa kike wanacheza mdako...wapite usiongee nao sababu usiniulize:A S 12::A S 12::A S 12::A S 12::sorry::wave:
rudi nyuma....utakuta wazee wanacheza bao....sema asalam aleykum salamu nyingine yoyote hawaitikii
na ukiwapita bila salamu utajuta kuzaliwa...kulia kwako kuna makaburi hesabu la tatu jipya jipya hivi...
pinda kushoto utakuta daraja la kamba..tafadhali usivae hai hili vaa flati shuzi...ukimaliza daraja tu...ntakuwa
nakusubiri...diskripshen yangu....sina shati,,,suruwalirangi ya ugolo...chini peku....we utakuwaje?
ngoja nikawastue wale wahuni wa mtogole niwaambie kuna ishu huku
bado hujaniambia utakuwaje.....mi sinaga ma ubitozi ya sijui shampeni mara redi diress...mara kiatu hai hili mara sijui maua maua....talking about maua hela bora unletee nkajichanganye krismasi hii
tanx god,,,,tanx allah i have to know you from today,,,,and also my tanx to you,,,
mamii mbona hasira tena?
bora utanisaidia kiasi kikubwa sana ndugu yangu,,,
Za mwizi 40 sasa leo ndio 40 yako lol!!!!! Niaje mazeee
Tufanyeje sasa maana na mimi nimemkamata wa kwangu yuko njiani anajiandaa kwenda kwa hashycool
we koma kabisaaaaaa :spy:
dah! Kaka ukisikia redi hended ndo hii......lakini mi mtoto wa sinza kaka!.....niko poa budaa!
umenikumbusha ule wimbo wa mesenja kaleta balaa nyumbani kwa meneja
bila kufahamu uhuuuu.... Kaka mtoto huyu ka treni basi kigoma....mwisho wa reliiiiiii
Tangu nimepigwa kibuti mwezi wa nane sikutamani tena kuwepo kwenye uhusiano.
Lakini sasa najisikia nina hamu ya kupendana. Tena nimpate wa kumpenda kwa dhati, nimpe moyo wangu wote, awe rafiki yangu na furaha yangu.
Tucheze wote mvuani, tuangalie pamoja jua likiwa linazama, akiumizwa tulie pamoja, akitoka niwepo pembeni yake kama handbag.
Dah...
Kweli mapenzi raha, nimemiss mapenzi
Tufanyeje sasa maana na mimi nimemkamata wa kwangu yuko njiani anajiandaa kwenda kwa hashycool
dah! kaka ukisikia redi hended ndo hii......lakini mi mtoto wa sinza kaka!.....niko poa budaa!
i will give u my contact tuwasiliane,,,,ok? watatuchanganya hawa watu tena sasa umeona wasema wakutane wakiwa hawana nguo,,,,