afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,153
- 9,271
hebu fanya fanya bana huyo mwanamke mwenzio atakuelewa!
The courses of true love never did run smooth.
hebu fanya fanya bana huyo mwanamke mwenzio atakuelewa!
Kesi yako ikiisha natumaini utatulia sasaah! fainest umeshinda bana.......single again!
The courses of true love never did run smooth.
Usuluhishi unaendeleaje?The courses of true love never did run smooth.
X mass inakuwaje utaila peke yako bila nilham?for real!
X mass inakuwaje utaila peke yako bila nilham?
Orait nategemea kuona post yake hapaMheshimiwa naona yupo ndani ya nyumba:
There are currently 23 users browsing this thread. (7 members and 16 guests)
Obuntu,Regia Mtema,The Finest,Caroline Danzi,NILHAM RASHED,tarmo,Harrieth,
Ngoja mamsapu afro arudi atakuja na majibu mazuriyaani we acha tu....tulisha panga twende kwenye lile li mti la krismass lililopambwa na zahabu sasa sijui itakuwaje?
Ngoja mamsapu afro arudi atakuja na majibu mazuri
Dah!yaani we acha tu....tulisha panga twende kwenye lile li mti la krismass lililopambwa na zahabu sasa sijui itakuwaje?
Maongezi mbona yamekuwa marefu au wazee imebidi waitwe?
Sina raha sina ehee naumia na mawazo.mi mawazo tele!
Sina raha sina ehee naumia na mawazo.
Dah nilifikiri umemaliza chupa sita za konyagi.yaani mi vikombe vya kahawa nishakunywa sita.....
Dah nilifikiri umemaliza chupa sita za konyagi.
Ha ha hamna mkuu nilikuwa nasikiliza huo wimbowe ninange tu!
Usije ukawa kama vegulenatamani zingepatikana huku!
Usije ukawa kama vegule