The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
nafikiria sanaaaa
mimi mwenyewe nimeachwa kwenye mataa sijui kaenda wapi afro wangu
nafikiria sanaaaa
kaka mi bado mashaka kidogo mtoto katokea kasema kani samehe halafu kala kona.......dah!
kaka mi bado mashaka kidogo mtoto katokea kasema kani samehe halafu kala kona.......dah!
noo..i m here darling....siwwzi becouse riham kapata xdent ajman..hivi niko hapa royal hospital sharja...i havent seen him up to dis time wallah..but tomorrow alfajir ntakuja kuwajibu nyote inshallah kama kuna party mi na afro kesho tutavaa sare tusherekee.na finest itabidi uvae na hash ok..nisubirin msianze part mtanitenga.ngoja nitizame hali ya broo..ok..wish iwill meet three of u.
nimekusamehe my boy hash,,,, ireally need you for my life time,,,,, loveyou i cant be far from you,,,,,
Duuhh!!! Ina maana sweetie mie ndio ushanipiga kibuti kama alivyopigwa Humphnicky?????!!! Kwa nini lakini!!! Au sababu mie ni mweusi tii kama paka mweusi???!!
inakuwaje mnasuluhishana bila mimi kuwepo, naomba ugomvi uanze tena upya!
niliwaambia vita vya panzi furaha ya kunguru. Ona sasa nimetulia na mtoto afrodenzi tunapunga upepo, tulia mtotomimi mwenyewe nimeachwa kwenye mataa sijui kaenda wapi afro wangu
Tangu nimepigwa kibuti mwezi wa nane sikutamani tena kuwepo kwenye uhusiano.
Lakini sasa najisikia nina hamu ya kupendana. Tena nimpate wa kumpenda kwa dhati, nimpe moyo wangu wote, awe rafiki yangu na furaha yangu.
Tucheze wote mvuani, tuangalie pamoja jua likiwa linazama, akiumizwa tulie pamoja, akitoka niwepo pembeni yake kama handbag.
Dah...
Kweli mapenzi raha, nimemiss mapenzi
I hope mpaka sasa ushampata mwandani wako umetulia pembeni yake kama handbag, sasa msiishie hapo nenda mbele zaidi mfunge ndoa ili uendelee kufaidi kihalaliTangu nimepigwa kibuti mwezi wa nane sikutamani tena kuwepo kwenye uhusiano.
Lakini sasa najisikia nina hamu ya kupendana. Tena nimpate wa kumpenda kwa dhati, nimpe moyo wangu wote, awe rafiki yangu na furaha yangu.
Tucheze wote mvuani, tuangalie pamoja jua likiwa linazama, akiumizwa tulie pamoja, akitoka niwepo pembeni yake kama handbag.
Dah...
Kweli mapenzi raha, nimemiss mapenzi
weka mchanga tupute!