Niko kwenye mood ya malavedavi

hahahhaha lol nilikuwa sijaona hiyo lol

kwa kweli namwone huruma mmhhh

uko wapi mpenzi wangu mbona nimekuja hapa kwenye lounge nimeweka hapa laptop yangu sikuoni au umeenda kwenye swimming pool tena
 
mkuu ungeimba za kimanga, hizo zitamzidisha jazba tu.
 
uko wapi mpenzi wangu mbona nimekuja hapa kwenye lounge nimeweka hapa laptop yangu sikuoni au umeenda kwenye swimming pool tena

ahhh bwana nko huku najaribu hii bikini mpya ..
si inabidi niku teez kwanza
kabla sijaanza kuku shushia jazba lol
 
uuuwii Nilham itabidi usome hii..
mmmhhh mumeo kapiga magoti..
sasa we wasemaje.....???
 
wakuu acheni niwahi ofisini sasa, akija preta mwambieni nimepokea mshahara leo, afanye haraka tuonane akaumalize.

asanteni kwa ushirikiano.
 
duh! pole sana
 
Mpenzi wangu afro natumaini utarudi na majibu mazuri kutoka kwa nilham kwa ajili ya hashy
 
Mpenzi wangu afro natumaini utarudi na majibu mazuri kutoka kwa nilham kwa ajili ya hashy

najaribu kila niwezacho
lakini huku chumbani hakufai..
mmhh lakini mwambie asikate tamaa..

mmhh endelea kusika hiyo camera bado ntarudi kumalizia mamboz lol..
mmmmmhh unanitamanisha mume wangu lol
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…