NILHAM RASHED
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 1,622
- 43
nimeishakata tiketi naondoka zangu mie nimechoka
huu ndo utetezi
nimeona pana kesi hapa. afrodenzi na nilham naweza baadae nikakuiteni pembeni kwa ajili ya usuluhishi. hashycool na ze fainest mnaombwa kulog out haraka sana ili kuepusha mtafaruku zaidi.
i have to say one thing..
mumeo anakupenda sana tena sana..
so whetever decision u gona make please include him...
we HashC mi nakutetea we unanipaka mavi lol
mi pia ndugu yangu yamenishinda je kwakuwa tulikuwa tukipendana kila mtu na wake waonaje hawa waliotugeuka tukawachapa kandoa kamkeka cha hapa hapa... Na jee truwaulize watakuwa radhi mi kwa sasa i cant speak with him,,, na perfum zako ntazirudisha inshallah!!!

kuna sredi moja lina sema hawara hawaachani hivi lina ukweli?
nimeishakata tiketi naondoka zangu utajua mwenyewe pa kunitafuta
nimeona pana kesi hapa. Afrodenzi na nilham naweza baadae nikakuiteni pembeni kwa ajili ya usuluhishi. Hashycool na ze fainest mnaombwa kulog out haraka sana ili kuepusha mtafaruku zaidi.
kuna sredi moja lina sema hawara hawaachani hivi lina ukweli?
:cry:
Afro na hashy mko tayari kwa ndoa ya mkeka????
yaani mume wangu mi nakupenda sana ..
Kwa kweli sijafanya kitu chochote against ndoa yetu..
Mie niko tayari kwenda msikitini au kanisani na we ili watuonganishe tena..
Niko tayarikufanya unalotaka..
Baba watoto naomba sana usiniache ..
Nione huruma mimi mkeo ....
Afro na hashy mko tayari kwa ndoa ya mkeka????
two wont be that bad!!!!!
kuna sredi moja lina sema hawara hawaachani hivi lina ukweli?
whaat???
halaf hii jf leo kuna baadhi ya majukwaa unaweza ukatembea uchi, yaani hakuna watu kabisa, hashycool hebu jaribu kutukana mod tuwacheki kama na wao wapo au hawapo? Wakikuban nitakulindia nilham rashid.