Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
Hongera ingawa katika beutiful womens simo
ha haaa, rafiki yangu Arabela ukiona jibu kama hili la huwezi jua nakushauri uongeze bidiihuwezi jua mwaka huu unaweza kuingia kwenye List yangu ya most influencial women of JF
hongera mkuu. sijapenda umewataja mabinti tu.. :biggrin:
nikusaidie basi kuwataja :biggrin: Young Master, chief-mkwawa, CTO, Good Guy, nyasiro, dazipozi na wengine wengi, nmeona na mie uzembe wa kutype
nimejifunza mengi tu, na sita sita kuitangaza JF kila nnapopita, na hata hawa junior members wajisikie huru kujiexpress kama mimi nilivyokaribishwa nilivyokuwa mgeni@C6,
Safi sana mkuu. 2yrs si haba, lazima kuna mambo kadha wa kadha umejifunza na umewafunza wengi. Uliyojifunza, wafunze wengine nje na ndani ya JF. Yaliyokukera tuachie, tufahamishe tuyaboreshe tuweze kuwahudumia Junior Members wa JF.
Tupo pamoja mkuu!
:A S 41:
hahahhaa Thanks aLot ex Wife, ntakutafuta baadae chembaThanks for ur appreciation & congratulation my x huz.... Kiukweli najuuuuuuta ila najua unajua kuwa "Mtalaka hatongozwi" So siku tukikutana si mbaya tukarewind.....
Pamoja saaaaana!!!!!
hahahhaa Thanks aLot ex Wife, ntakutafuta baadae chemba
mie sio mtu wa kushow off sana, ntabadili rangi ya jina tu iwe nyekundu baaaasi
mi nilikuwa nasema tu rafiki yangu @c6FP umeanza uchokodhiiiiiii
hapo kwenye nyekundu hapooooooooooooooooooooooooooo.........Thanks for ur appreciation & congratulation my x huz.... Kiukweli najuuuuuuta ila najua unajua kuwa "Mtalaka hatongozwi" So siku tukikutana si mbaya tukarewind.....
Pamoja saaaaana!!!!!
naelewa rafikihahahhaa usiogope FP mimi na wewe tena, hatuzuliani mambo
Mkuu C6
Hongera sana, miaka miwili uliyotimiza sasa ni hatua kubwa. Hatua kadhaa zipo mbele yako wala usiacha kulitumia jukwaa kwa manufaa yako na Taifa.
Nashukuru kwa kunikumbusha
hapo kwenye nyekundu hapooooooooooooooooooooooooooo.........
ngoja tu niishie hapo, lol!
huwezi jua mwaka huu unaweza kuingia kwenye List yangu ya most influencial women of JF