Niko dilema nishaurini

Niko dilema nishaurini

ee mungu nijalie yasinikute kama yaliyomkuta huyu ndugu



kila nikifikilia ndoa kwa mm ambaye sijaoa naona kama kupanda mlma Kilimanjaro kifua wazi
 
pole sana!!

Ila wakaka mjifunze hit an run halafu hautumii condom....?!!


ngoja akue uchukue mwanao ulee
Ndom ya nini? Tumekuja kulinda dunia? Kifo kipo tu! Ni kumshukuru Mungu kwa jila jambo!
 
Hawa wanawake kwa kweli inataka moyo kuishi nao, na ndio maana mungu alisema ishini nao kwa wema maana wana vitimbi vikubwa mno
 
we oa tu mbona kitanda uliinjoi nae. na matatizo hayo muyainjoi tu yana mwisho wake.
 
Mkuu kuoa hiyo kitu hapana kabisa, wala sikushauri....Kwa hayo maelezo hapo hakuna mke.

Jaribu kwenda ustawi wa jamii kuona taratibu zipoje ingawa wanasema mtoto ataishi na Mama hadi miaka 7 lakini naamini watu wazima hawashindwi jambo.

Ukiona kila uchochoro umebuma, ongeza akili umwiibe huyo mtoto akaishi sehemu nyingine...ukifanikiwa kumwiiba huyo mtoto hakikisha atapata mahitaji muhimu hasa upendo ili asipakumbuke Misri.
 
we oa tu mbona kitanda uliinjoi nae. na matatizo hayo muyainjoi tu yana mwisho wake.
Mkuu vitu vingine ni kama pilipili kichaa,...vina shape na rangi nzuri lakini ndani ni balaa tupu....Kama huyo KE angekuwa vizuri, jamaa asingebanduka hapo.....Na ndio faida za ''shake well before use''.
 
hayo yoteee ni kuwa na mzazi mbaya, mama wa mzazi mwenzio ndo mbovu, kams mzazi huwezi ruhusu ujinga wa hivyo, usidanganyike kumuoa atakutesa pea mtoto kisheria watakwambia ƙkila mwezi utayuma sh ngapi akifikisha miaka amɓayo inafaa kisheria coz sio lazima miaka 7.then chukua mwanao, sijui watu wengine wana akili gani?
 
Mkuu vitu vingine ni kama pilipili kichaa,...vina shape na rangi nzuri lakini ndani ni balaa tupu....Kama huyo KE angekuwa vizuri,
Mkuu vitu vingine ni kama pilipili kichaa,...vina shape na rangi nzuri lakini ndani ni balaa tupu....Kama huyo KE angekuwa vizuri, jamaa asingebanduka hapo.....Na ndio faida za ''shake well before use''.
shake well b 4 use nje si unakuta chupa hiyo ina maamdishi mbalimbali na na matumizi yake? we utachukuaje hydrochrolic per oxide ya vidonda usukutulie mdomoni na wakati ipo ya mouth wash? hilo ni funzo mambo ya hit - run AOE TU KWAKWELI mambo ya kuongeza masingo maza c poa.
jamaa asingebanduka hapo.....Na ndio faida za ''shake well before use''.
 
Uwe unakoti vizuri aisee,....nimepata shida sana kusoma.
 
hii ngumu sana pole sana
mimi naona abaki tu kijijini tuma hela za matumizi huko. ukisema umlete mjini ni gharama pia aje kufanya nini
msaidie akiwa hukohuko kwao maana hakuhusu
 
Nahis umuoe, muishi pamoja, upendo utakuja tu mana inaonekana dada yake ndio wanaomdrive ila mkeo anakupenda hivyo mkiishi pamoja nahis upendo utakuja kupitia mwanao
 
Mkuu naomba ufanye hivi.
Kwanza, msamehee mzazi mwenzako. Kama kuna uwezekano fanya mpango umuoe ulipe mahari na kila kitu. Makabila ya huku kaskazini mara nyingi kuishi na mwanao bila ndoa mwanaume unadharaulika. Na hii inaweza kuwa sababu ya wewe kutokuheshimika kwa mama na dada mtu.

Baada ya taratibu za kuoa Mrudishe uishi nae na usimame kama mme mtu. Mkigombana hakuna wa kuingilia mambo yenu hadi wote mkubaliane. Simama kama mwanaume.

Pia kama taratibu za kumuoa zikishindikana..arudi Dar na ukae umweleze misimamo yako na uisimamie ila sio kwa kumkandamiza. Huku ukifanya taratibu za ndoa.
 
Nahis umuoe, muishi pamoja, upendo utakuja tu mana inaonekana dada yake ndio wanaomdrive ila mkeo anakupenda hivyo mkiishi pamoja nahis upendo utakuja kupitia mwanao
Anaendeshwa na dada yake na hii ni kutokana na kwamba hawamtambui jamaa. Lakini akishamuoa heshima inakuja na huyo mwanamke hatayumbishwa tena na dada yake.

Wanaume Huwa tunachukulia kiurahisi rahis suala la kumpa mtoto wa watu mimba . Tunapaswa kujua kila mzazi ana mindset ya maisha ya wanawe hivyo anapotokea mtu wa kumpa mimba mwanae miparakano lazima iwepo.

Muoe huyu mdada aseeh. Tena naona anakupenda sema ni kuendeshwa na dada na mama yake tu.
 
we b.....w....e......g....e. kweli yani tangu ujiinge jf hujawai cmment llote huna maana toka uko!
 
Hahahhhh si kwa upole huo
Nitafanya nini sasa?,maana nikichangamka natukanwa,nikijipendekeza naonekana sio mzima,nikichangia naambiwa saa ingine sina akili,basi namuachia Mungu atanilipia,hewala sio utumwa.
 
Unataka ushauri upi? Kwanza una hakika huyo mtoto ni wako? Mbona hakukuambia tangu alipojua ni mja mzito? Kama ukishahakikisha mtoto ni wako unataka kumwoa mama wa mtoto wako kwa kuwa unampenda yeye au unampenda mtoto au ni kwa shinikizo la familia yake? Naona kama ndugu zake wanamgandamiza huyo mpenzi wako anafuata ushauri wao. Je una hakika ukimwoa hao ndugu hawataweza kuja kukuvurugia kwa ushauri wao mbaya?
 
Nitafanya nini sasa?,maana nikichangamka natukanwa,nikijipendekeza naonekana sio mzima,nikichangia naambiwa saa ingine sina akili,basi namuachia Mungu atanilipia,hewala sio utumwa.
Mmh KARANJA jamaani ile siku nilikua na chat na yule kumbe kakublock aisee nisamehe usifike uko
 
Wanawake wengine wanatafuta hizi bahati hawapati....ungekuwa umtelekeza ingekuwaje?? Hata kama humpendi angalia kwanza welfare ya mwanao kwanza...
 
Back
Top Bottom