Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
usijarBasi mrembo,sina kinyongo na wewe na Mungu akubariki,tusahau yaliopita mamii.
usijarBasi mrembo,sina kinyongo na wewe na Mungu akubariki,tusahau yaliopita mamii.
Life is too short mamii,tufurahi bado tupo wazima,chuki haina maana.usijar
yeah ni kweli na usimdharau mtu usiyemjua ata siku mojaLife is too short mamii,tufurahi bado tupo wazima,chuki haina maana.
Kweli mrembo na uzidi kupendeza,nakuahidi kitu kitaamu(dua kwa Mungu)uzidi kunawiri mamii.yeah ni kweli na usimdharau mtu usiyemjua ata siku moja
Ameen karanjaKweli mrembo na uzidi kupendeza,nakuahidi kitu kitaamu(dua kwa Mungu)uzidi kunawiri mamii.
Mkuu nina hakika ni mwanangu kwa vipimo vyangu vya macho kufanana na vipino vya ndugu na jamaa pamoja na mama yangu hakuna shaka yule ni mwanangu.Unataka ushauri upi? Kwanza una hakika huyo mtoto ni wako? Mbona hakukuambia tangu alipojua ni mja mzito? Kama ukishahakikisha mtoto ni wako unataka kumwoa mama wa mtoto wako kwa kuwa unampenda yeye au unampenda mtoto au ni kwa shinikizo la familia yake? Naona kama ndugu zake wanamgandamiza huyo mpenzi wako anafuata ushauri wao. Je una hakika ukimwoa hao ndugu hawataweza kuja kukuvurugia kwa ushauri wao mbaya?
Mkuu ajabu ni kwamba ana dada yake flani ana watoto wawili kazaa na watu wawili tofauti na wametelekezwa hawamsaidii yeye ndiye anahangaika nao.Wanawake wengine wanatafuta hizi bahati hawapati....ungekuwa umtelekeza ingekuwaje?? Hata kama humpendi angalia kwanza welfare ya mwanao kwanza...
Unalosema kweli mkuu, mimi lengo langu ilikuwa baadae nimfungulie biashara au aende asomee kitu kimsaidie maishani lakini niliwahi kujaribu ongea naye ikawa kama hayuko tayari kwa lolote.Huyo mwanamke huwezi kuishi naye la utavuruga mpango mzima wa maisha yako na huenda ukapunguza siku za kuishi anaonekana ni pasua kichwa kweli kweli. Kama kinachokupa tabu ni malezi ya mtoto, fanya utaratibu wa kimahakama umchukue mwanao atakua tu. Japo kisheria mtoto anatakiwa akae na mamaye hadi atimize miaka 7 lakini yapo mazingira ambayo mahakama huruhusu baba kumchumkua mtoto inapoonekana ustawi wa mtoto upo mashakani mikononi mwa mamaye. Hapa naona una kila hoja ya kuishawishi mahakama kukukabidhi mwanao.
Mkuu hilo nalifahamu na nilikuwa tayari kumuhudumia kumsomesha au hata kumfungulia biashara lakini hakuwa interested.Anaendeshwa na dada yake na hii ni kutokana na kwamba hawamtambui jamaa. Lakini akishamuoa heshima inakuja na huyo mwanamke hatayumbishwa tena na dada yake.
Wanaume Huwa tunachukulia kiurahisi rahis suala la kumpa mtoto wa watu mimba . Tunapaswa kujua kila mzazi ana mindset ya maisha ya wanawe hivyo anapotokea mtu wa kumpa mimba mwanae miparakano lazima iwepo.
Muoe huyu mdada aseeh. Tena naona anakupenda sema ni kuendeshwa na dada na mama yake tu.
Mtoto naweza mchukua nikamwekea mtu wa kumlea maana sitaki alelewe na mama yangu nataka mwamangu niwe namuona kila siku.Pole sana ndugu, kaa kwanza uyatafakari maana haya ni mambo makubwa. Unaeza mchukua mwanao na kumleta kwenu kwa maana wewe ni mtoto wa kiume, ulipo wewe ndo mwanao alipo. Kitamaduni mtoto wa kike akipata mtoto anakuwa si wa upande wa kwao ila anakuwa upande wa mume.
Ila ana roho nzuri mkaka wa watu, nimempenda ghafla...pole sana!!
Ila wakaka mjifunze hit an run halafu hautumii condom....?!!
ngoja akue uchukue mwanao ulee
Kuna wasafa walikuja manamba kufanya kazi ktk mashamba ya miwa TPC, kuna wangoni, wanyiramba, waluguru, wasandawe, wabaribaigi, wamasai, wanyaturu, wamakonde, wasambaa, wapare, wachaga, wagogo, wambulu vipi niendelee?Hivi watu wa Moshi ni kabila gani eti? Samahani lakini
Kuishi naye hapana angalia upya aiseeMsamehe kwa yote yaliyojitokeza mwanzo...mchukue muishi tu jamani kwani ana kasoro gani ishi nae tu jamani
Apo mwanaume kazinguaje mkuuYaani wanaume ndio maana tunalogwa tu saa zingine kweli tunazingua