ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,118
- 5,368
Unamshauri aibe mtoto? Si u dwanzi huu kushauri anyang'anye mtoto tena mtoto mwenyewe hata miaka mi 2 bado, tena familia yenyewe hiyo ya kivisasi visasi mwambie ajaribu aone kama hatoendelea kujutia badala ya kupata ahueni
hakuna mke hapo, mwanamke gani huyo..! siwezi kumshauri aingie matatizoni, kosea vyote ila sio kuoa.
ishu sio kuiba mtoto, atumie sheria kumpata mtoto, inawezekana maana mama yake kashindwa kumtunza afya yake inazidi kuwa mbaya.