Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,157
- 31,334
- Thread starter
- #81
Mkuu nilikuwa na uwezo wa kwenda hata polisi maana vile vitu nilinunua nikaweka kila kitu yeye nimemwamishia tu na bag lake na la mtoto kila kitu alikuta kimepangwa kiko tayari mashahidi ni mwenye nyumba na majirani.Du ndugu pole kaka, ila nakupongeza sana ndugu yangu una moyo wa utu, tena utu haswa na umejiyaida mno mpaka hapa ulipofikia na una moyo aisee,kama ingekuwa ni mimi kwanza kitendo cha kuondoka nilipompangia na kubeba kila kitu pasipo kuniambia,na ukawa na moyo wa kumtafuta mpaka kwao na ukafika na kupigwa juu aisee pole ila tunatofautiana sana wanaume,kwanza kitendo cha kupigwa ukweni pasipo na makosa hilo pekee ni kosa la jinai aisee,mimi nigeleta kirikuu napakia kila kitu nilichonunua na sitaangalia nyuma mpaka waje waombe radhi kwa wazazi wangu/wanaume wa siku izi sijui ni nini shida aisee,kama hapo ikishindikana waende kwenye vyombo vya sheria ukajieleze huko usitishike aisee eeebo
Lakini shida haikuwa hivyo vitu maana nilijua haviwezi msaidia kumlea mtoto hata akibaki navyo na yeye analijua hilo nilikuwa najitahidi kumlea mwanangu kwa kila kitu, kitu ambacho yeye mwenyewe anajua hawawezi.
Mtoto sasa hivi yani kabadilika anaumwa daily uzuri wote umepotea yani anatia huruma sana hata nikituma ela sina hakika kama zinatumika kwake.