Bibi wa mtoto sikuntaja achukue jukumu la mzazi Bali nimemtaja kama mtu anayeweza kumkemea na kumsimamia mwanae wa kike katika malez ya mtoto, binafsi nilipojifungua mtoto wa kwanza sikuwa na hili wala lile juu ya suala LA males hivyo mama yangu alinisaidia sana kusimamia makuz ya mwanangu angali kuchanga
Mimi na wewe hatujui sababu ya uyo dada kumuachisha ziwa mtoto wake, yaweza kuwa ni mgonjwa au hawez kuvumilia kuto jihusisha na ngono (may be na watu tofauti tofauti) kitu ambayo ni hatari kwa Afya ya mtoto hence aliamua uachishe amkinge mwanae, hivyo hii sioni kama ni sababu ya msingi sana