mmenikumbusha mbali sana kitu boboro na ilikuwa na design nyingi nyingine tunaloweka baada ya kukaanga tuliita bisi
Baada ya kukaanga? Basi sisi ilikuwa kabla, tena unaloweka na chumvi kabisaa.....
mmenikumbusha mbali sana kitu boboro na ilikuwa na design nyingi nyingine tunaloweka baada ya kukaanga tuliita bisi
hizi zitakuwa POPCORN PORI!!
........muendelezo
yaweke ndani ya chupa; tia maji; yaache yakae kwa muda mrefu;
kisha mwaga maji;,mahindi yatalainika yatafaa kuliwa na wote.
Nimeona vyema nimuhabarisheni.
Sasa hapo ndo pakutufundisha..... maana haya mambo ya supamaket yametufanya tupitwe na mazuri !!kuna tofauti kubwa kati ya maindi ya bisi na ya LUKETO
Nini hii?
mkuu sisi tuko bize na kutangaza NIA We uko jikoni.napita tu mkuu amavubi
Sasa hapo ndo pakutufundisha..... maana haya mambo ya supamaket yametufanya tupitwe na mazuri !!
Sasa hapo ndo pakutufundisha..... maana haya mambo ya supamaket yametufanya tupitwe na mazuri !!
Kaanga na sufuria bana ndo yanakuwa matam ha ha ha