Niko Busy Nawaandalia Kitu

Niko Busy Nawaandalia Kitu

Kaanga na sufuria bana ndo yanakuwa matam ha ha ha
khaswa, lakini shughuli za masufuria nimewaachia akina bibi,mama na khaloo... Mie nipo hi-tech na dig.com err' Sasa najaribu kuona ntaitoaje ili nianzishe kameza na kioski!! usiniige eenh?

(wakumbuka zzile bisi/popcorn za kwenye sufuria?)

 
khaswa, lakini shughuli za masufuria nimewaachia akina bibi,mama na khaloo... Mie nipo hi-tech na dig.com err' Sasa najaribu kuona ntaitoaje ili nianzishe kameza na kioski!! usiniige eenh?

(wakumbuka zzile bisi/popcorn za kwenye sufuria?)


Nazikumbuka basi kuna siku nikainjika popcorn kwenye sufuria bila kufunika bana ha ha ha mziki wake usikilizie!!
 
Na ambao meno hawapo njema......
chukua maji ya uvuguvugu......
weka chumvi........
koroga......
tia boboro zako ndani......
loweka usiku kucha......
kesho asubuhi tayari kwa kuliwa darasani......wakati mwalimu anafundisha.........

ghahahahhhahaa mamiii umenikumbusha mbali

lakini pia mlo huo unaweza ukakaanga na mafuta kidogo kama vijiko viwili kwa muhindi mmoja
 
Hii sisi tuliita uketo. Kama mahindi hayajakauka vizuri tunakaang kwenye fry pan tunatia chumvi na mafuta kidogo. Kwa mahindi yaliokauka kabisa tunatumia chekecheke la waya lililokunjwa kama kibox hivi.
 
maindi ya kukaanga
namna ya kutayarish
1,muhindi mmoja mkavu
2,pukuchua
3.weka jikoni kwenye chuma kikavu
4.koroga bila kuacha
5.yakiwa brown yote
6.epua tayari kwa kuliwa

mlo huu unaweza kuliwa na rika zote kama meno yako njema

hizi zitakuwa POPCORN PORI!!
 
maindi ya kukaanga
namna ya kutayarish
1,muhindi mmoja mkavu
2,pukuchua
3.weka jikoni kwenye chuma kikavu
4.koroga bila kuacha
5.yakiwa brown yote
6.epua tayari kwa kuliwa

mlo huu unaweza kuliwa na rika zote kama meno yako njema
........muendelezo
yaweke ndani ya chupa; tia maji; yaache yakae kwa muda mrefu;
kisha mwaga maji;,mahindi yatalainika yatafaa kuliwa na wote.
Nimeona vyema nimuhabarisheni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom