Mkuda sana, eti anarusha screenshot za group wanavyomsema wasanii wenzake, ana mambo ya kidada huyu jamaa ana usnitch fulaniunju bhana anagombana na kila mtu
Kweli ana vita ya benghazi
Napingana na hoja yakoHiphop ilikua kitambo kwa Sasa
Hamna kitu
stidy
Kumbe! Ila ngoma Ni Kali.Maneno ya mashabiki ni track ya muda mrefu sana
Sikunyingi nimeacha kufatilia Hiphop ya chimbo (underground), zamani ngoma za Tamaduni wazee wa Kilingeni zilikuwa hazinipiti, yaani gheto ni Hiphop kwa kwenda front tena zile zenyewe sio hizi Mainstream, naona uzee unagonga hodi, sikuhizi eti namshabikia Diamond na wabana pua wenzakeManeno ya mashabiki ni track ya muda mrefu sana
P huwa namkubali sikunyingi, anachora vizuri sana mashairi, sema alikuwa underrated. Ngoja tusubiri jibu la Unju, navyomjua mimi hawezi kukaa kimya huyuMi nilishasema humu, ule mkwaju wa P umemuathiri kisaikojia, hawezi kutuliza kichwa kujibu anaogopa kutoa kichekesho. Yaani mpaka tunaingia hii weekend, P the MC 4 - Nikki 0.
Wakuda ni wale wanaomsema wakati wanajua hayupo..ni sawa na wale ma manzi wanakaa vibarazani kusema watuMkuda sana, eti anarusha screenshot za group wanavyomsema wasanii wenzake, ana mambo ya kidada huyu jamaa ana usnitch fulani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wanaomdiscuss kijana mwenzao kwenye group ndio wenye mambo ya kiume boss?Mkuda sana, eti anarusha screenshot za group wanavyomsema wasanii wenzake, ana mambo ya kidada huyu jamaa ana usnitch fulani
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi kundini mkuu, huku hip hop imenoga ma underground wanatoa ngoma kali kinyama kuliko hawa mainstreamSikunyingi nimeacha kufatilia Hiphop ya chimbo (underground), zamani ngoma za Tamaduni wazee wa Kilingeni zilikuwa hazinipiti, yaani gheto ni Hiphop kwa kwenda front tena zile zenyewe sio hizi Mainstream, naona uzee unagonga hodi, sikuhizi eti namshabikia Diamond na wabana pua wenzakekweli maisha yanabadilika, vipi Nash MC uchebe anaendeleaje?
Sent using Jamii Forums mobile app