Nikiwa RAISI

Nikiwa RAISI

ntaanzisha wizara ya mabinti ili mwanangu wa kike awe waziri
 
Mi nikiwa raisi mshahara idara zote anakuwa kimo akishindana speed na gharama za maisha.MIA
 
Nashusha bei ya bia iwe inauzwa jero na soda ziwe zinauzwa 2500.


Jamani, jamani, unakaaga wapi ili niwe nakupitia kila siku tukanywe bia kwa gharama zangu, tuanze kampeni za wewe kuwa rais, kwa sera hii, hii. Naimeifuraiaje hii, utadhani kweli wakati ni utani.
 
nikiwa rais.... NAGOMA

Mbona wewe umemuiga mwenzio JK, yupo kwenye mgomo mpaka 2015 ndo ataacha mgomo. Wewe hatutakuchagua kwa sababu tumeshaona rais akigoma nchi inakuwaje, tunataka mabadiliko.
 
elimu na afya bure kwa wote. migodi na rasilimali zetu ndizo zitakazofidia hizo gharama za elimu na afya.

Hapa tunataniana, mbona kama wewe unajipigia debe la ki-ukweli ukweli.
 
Nikiwa rais Mlima Kilimanjaro nauhamishia Dom ili majirani zetu wasiweze kupata kisingizio cha kuusema ni wao, kila raiya atakae panda milmani atapewa milioni kama motisha.
 
Ntahakikisha kila mtanzania anakopeshwa AK 47.
Ntapiga marufuku magari na kutoa mikopo ya baiskeli ili kupunguza foleni dsm na pia kuwafanya watu wapunguze ndambi.
Nitahakikisha madafu yanakuwa official drink au kinywaji cha taifa.
Ntahakikisha bendera ya taifa haishushwi usiku.
Mwisho nafuta mbio za mwenge ili kupunguza maambukizi ya ukimwi
 
Nitabadilisha wanaoishi mjini wanaenda vijijini na wa wavijijini wanakuja mjini baaas!!!!
 
Nitahakikisha wanajf wote wanatumia majina yao halisi,alafu kwenye avata wataweka paspotisaizi.
 
Nikiwa rais Mlima Kilimanjaro nauhamishia Dom ili majirani zetu wasiweze kupata kisingizio cha kuusema ni wao, kila raiya atakae panda milmani atapewa milioni kama motisha.

wachaga hatutakuacha uchukue mlima wetu
 
Mademu wote wazuri wa vyuo ntawajengea hosteli ikulu. Af najisevia mmoja mmoja, na nawapangia zamu za kuwa first lady
 
Back
Top Bottom