Hussein J Mahenga
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 752
- 659
Nikiwa rais,jk ntamteua awe mwnyekiti wa mtaa
Nashusha bei ya bia iwe inauzwa jero na soda ziwe zinauzwa 2500.
Mkapa, Jk, lowassa, Ngereja, Karamagi, Chenge, RA na Makinda wote RUMPANGO NO UTANI!!!!
nikiwa rais ntakubaliana na matakwa ya david cameroon!
Nikiwa Rais nitamteua Wassira kuwa Waziri Mkuu!
nkiwa raisi sikukuu zote ntafuta...ntabakisha moja tu ambayo ni birthday yng.