Mi wakinipa hii nchi kwanza wanyoa viduku wote nawatia ndani, na jeshi lote nalivunja, jeshi la nn akat nchi ina amani, masharobaro wote wanakuwa wahudumu wa bar, wewe ukiwa raisi utafanyaje?
Nikiwa rais: m2 akifikisha miaka 30 namuua ili niwe na nchi ya vijana 2pu, mashoro wote nawapeleka jeshi, wagumu wote nawapa kazi ya uhudumu wa bar na gest.
Nikiwa rais:Mkapa nitampeleka kiwira ili akawaeleze wazawa namna alivyoingia mkataba kwa maslahi binafsi?
Pili,Jk ningemtembeza butiama kisha ningemuuliza anajisikiaje anapotembelea kenya ktk makazi ya Kenyatta kwa kulinganisha na kanyumba ka mwl.