hii inasababishwa na nini?
Soma vizuri hiyo sredi
Tangu kuibuke mitandao ya kijamii vijana tumekuwa malimbukeni....tunadhani kila jambo ni la kuleta mitandaoni....jambo kama hili unatuuliza sisi kwani sisi ndio tunaokata gogo...kwann usimuulize mhusika pindi akirudi kutoka chooni nadhani ndiye atakuwa na jibu sahihi....kwa sababu hapa kiukweli hakuna mwenye jibu sahihi zaidi ya huo mchepuko wako....jamani mambo mengine mjaribu kutumia vichwa vyenu kabla hamjapost....
yaani siku hizi mtu akijikata tu hata kidole ana kimbilia mtandaoni .....ukiendesha maisha yako kwa mitandao lazima ikukost
by the way atakua hajarudi huyo mchepuko kutoka chooni
Tangu kuibuke mitandao ya kijamii vijana tumekuwa malimbukeni....tunadhani kila jambo ni la kuleta mitandaoni....jambo kama hili unatuuliza sisi kwani sisi ndio tunaokata gogo...kwann usimuulize mhusika pindi akirudi kutoka chooni nadhani ndiye atakuwa na jibu sahihi....kwa sababu hapa kiukweli hakuna mwenye jibu sahihi zaidi ya huo mchepuko wako....jamani mambo mengine mjaribu kutumia vichwa vyenu kabla hamjapost....
Hahahaa.....kheri ya mwaka mpya
any way japo unaonekana mshamba sana ila ngoja nikwambir..
kawaida unapolala usiku kucha mwanamke hata mwanaume (sehemu za matakoni) unajihisi mchafu hivyo sex comfortability inahitaji hayo maeneo yawe masafi ndio maana anaenda kunawa kuwe kusafi.
kwa isue ya haja kubwa nikawaida kwa watu wengi kwenda asubuhi wengine jion au mchana ni mda alojizoesha ( conditioned action will result to conditioned response)
unakumbuka kuna yule aliweka uzi humu eti kila nikirufi kazin ghafla nikaomba game mke lazima akimbie bafuni anahisi anafanya wakati hayupo,lazima akajidafishe apunguze jasho hawa wabaume ambao hajaenda jandoni ni shida jaman

Tunashukuru tumeuona salama swahiba....