🤣🤣Kumbe tupo wengi ,hujaweka nayale majeans mapana yenye maviraka na mifuko mikubwaHaya maviatu yana matatizo ya akili kwa vijana hivi mjachunguza.
View attachment 3454553
😀😀😀😀Basi mabinti wa 2000 wakiona kijana kayavaa hayo wanamgombaniaje wanaona ndiyo mnyamwezi.
Kweli kabisa coz wazee nao pia walivaa viatu vya Raizoni.Hizo ni fashion za gen Z sasa wewe mbabu utavaaje si utaonekana kituko, wenyewe wanapendeza tukubali tu zama zetu zipo ukingoni tuwaache vijana wafurahi wakati wao.
Watoto wa temekeee na watoto wa pwaniiiiiunyama huu
Sahihi kabisaHizo ni fashion za gen Z sasa wewe mbabu utavaaje si utaonekana kituko, wenyewe wanapendeza tukubali tu zama zetu zipo ukingoni tuwaache vijana wafurahi wakati wao.