Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,208
- 13,233
Kuna ulanzi kyela?Kyela - Mbeya
Yeah upo mkuu, nimewahi kuuona nilipopita huko.Kuna ulanzi kyela?
Kyela miss so much
Hizo cocoa ndio zinapatikana Kyela. Ulanzi ni Iringa.Kuna ulanzi kyela?
Ukinywa na jua inakuwaje?Duuh mambo ya ulanzi ila usijiloge unywe na jua🌞
miguu inaishiwa nguvu unashindwa kutembea yan we kila unapotembea utais unapandisha mlima hata pawe tambalaleUkinywa na jua inakuwaje?