hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,805
watu wengi wamejaribu kukushauri na mi napenda nikupe ushauri walau kidogo. Tamaa ni mbaya sana. Kama ushafikisha umri wa kuoa nakushauri uanze mchakato. It will help you stabilise your psychology ambayo kwa kiasi kikubwa inaonekana kuharibiwa na disorder ya PARAHILIA.
Kama una girlfriend tayari kijana anza mchakato wa ndoa. We ulishawahi kujiuliza kwa nini kuna tofauti kubwa sana kati ya maisha waliyoishi babu zetu na wazee wetu pamoja na sisi. Vijana wengi siku hizi wanakufa mapema wanawaacha wazee bado wanadunda kwa sababu maisha yao wameyaharibu wenyewe. Hawataki kufata maandiko matakatifu wanafanya mambo kwa misukumo yao wenyewe. Hawasikii ushauri wa watu walioenda mbele yao wenye uzoefu.
Tamaa zako usipozielekeza kwenye vitu productive tayari utafall victim. Idle mind is the devil wworkshop. Unapata mda sana wa kwenda beach kuangalia vichupi kuliko kufanya mambo mengine mengi ya msingi.
jipange aisee. Ni ushauri tu mkuu. Kama haufai upotezee. Dunia ita deal na wewe