Polet sana dogo.Naona wengine wamekushambulia sanal kwa uzi wako wakashindwa kujua unayo shida na unahitaji msaada.Kwa kifupi hilo ni tatizo la kisaikolojia ndilo linalokusumbua, yaani inaelekea mawazo yako umeyaelekeza zaidi kwenye hiyo nguo.Please tambua kwamba hiyo ni nguo ya kawaida tu kama nguo zingine kama zilivyo nguo za kike kama sidiria sijui brezia na nyinginezo.Tatizo lako kila unapoiyona hiyo nguo una i connect na papuchi,inabidi usielekeze mawazo yako hivyo.
Lakini pia kama ulivyo shauriwa kama umefikia muda wa kuoa hebu vuta wako na kwa kadri utakavyo kwenye ndoa yako utaona mambo haya yalivyo ya kawaida.