Nikimwambiaga nimechoka ni kesi! Nipeni ushauri!

Kuliwa ndo huko, kwamba unashughulika na anakutoa kimtindo,it goes both way, wala usichukie na ukidume wako wa mbegu...mbegu zinapanga nyumba na kununua mali na chakula??

ni kweli usemayo,basi awe ananielewa! Yani ivi nilivyoamka nilizima cm jana,nimekuta sms za kutosha tu,za kunikumbusha pambano! Yani hnfu tupu! Na leo ndo nahitaji mshiko kinoma! Aaagh,sijui nijifunge P.O.P?
 
Sasa mbona unaandika kama demu ambaye anaomba kujulishwa nini cha kufanya kutokana na tatizo linalomkabili?

Anyway case yako ni simple, acha papara muandae vya kutosha huyo demu wako asiyeshiba mikwaju!!!!! Hakikisha hilo unalifanya kwa ukamilifu wake, atakuwa ameshaanza safari mapema na wewe ukija hata ukienda mara tatu anaweza kutoa msamaha kama wafungwa wafanyiwavyo tisa demember na siku ya muungano, kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeh!

he! Kutokana na mauwezo yake huwa namuogopa uspime! Halafu huwa yuko bize na utafutaji akifika tu anavua anakuvagaa! Hata muda wa ku rom ni mfupi mno ila asante kwa ushauri ntafanya hivyo ila leo namtoroka kweli kabisa!
 
Ukahaba haina tofauti na ajira zingine kaka. Tunaofanya kazi za kuajiriwa tunaelewa hii, huwezi kumtumia sms boss wako nimechoka nalala. Tafuta mwajiri mwingine, ikiwezekana mwanaume ili mckichoka mchoke wote. La sivyo rudi nyumbani kwa wazazi wako.
Unaniharibia sabato yangu,aaaaggghhhrrr!
 
Mwanaume mzima utatumikishwaje,mwanaumee au wa kiume!kwa hiyo we hata shughuli zozote hufanyi na unategemea mshiko wa mwanamke!shame!achaga uzoba!kajishughulishe!nilifikiri mwanamke ndo analalama hapa!golddigger

Aaa jamani,hata mi nafanyakazi ila kipato chake ni cha juu kuliko mimi! Halafu ndo kwanza nimenunua kaeneo nimeanza ujenzi hivyo ki mapato nimeyumba kdg! Simtegemei kiviiile! Ila kwa mitoko ya weekend tu!
 
Ukahaba haina tofauti na ajira zingine kaka. Tunaofanya kazi za kuajiriwa tunaelewa hii, huwezi kumtumia sms boss wako nimechoka nalala. Tafuta mwajiri mwingine, ikiwezekana mwanaume ili mckichoka mchoke wote. La sivyo rudi nyumbani kwa wazazi wako.
Unaniharibia sabato yangu,aaaaggghhhrrr!

pole mtumishi wa Mungu! Asante kwa ushauri.
 
duh,binadamu tusijisahau(kuendekeza dunia na kuacha misingi ya dini ), kuna kufa! kifo hakina mkataba, muda wowote, saa yoyote kinaweza kukupata!!!! je tumejiandaa vipi?
Tuacheni maovu, tumuabudu mungu!!
 
Tafuta jinsia nyingine banaa, wewe sio kidume. Kutafuta hela yako mwenyewe huwezi, na mchumba anaekutaftia akuletee kumridhisha huwezi!

Jamani! Kidume nakwenda mpaka 7 mda mwingine 8 mpaka miguu inatetemeka,mnaona bado simridhishi demu wangu!? Haya sijui mwatake!
 
duh,binadamu tusijisahau(kuendekeza dunia na kuacha misingi ya dini ), kuna kufa! kifo hakina mkataba, muda wowote, saa yoyote kinaweza kukupata!!!! je tumejiandaa vipi?
Tuacheni maovu, tumuabudu mungu!!

Mheshimiwa mchungaji jukwaa hili halikufai! Umepita kutafuta nini mtumishi? Anyway asante kwa ushauri.
 
Usimuogope kwa sababu ameashakuwa mpenzi wako. Mshauri juu ya ufanyaji wa mapenzi usitumia nguvu sana lakini una maximamu satsafaction, akikuuliza ni upi huo mwaleze ni lazima tuandaane ili kila mtu mawazo na akili zake ziwe eneo la tukio.
Kitu kingine inaonekana hiyo mwanamke ni mkubwa kwako.

he! Kutokana na mauwezo yake huwa namuogopa uspime! Halafu huwa yuko bize na utafutaji akifika tu anavua anakuvagaa! Hata muda wa ku rom ni mfupi mno ila asante kwa ushauri ntafanya hivyo ila leo namtoroka kweli kabisa!
 
Usimuogope kwa sababu ameashakuwa mpenzi wako. Mshauri juu ya ufanyaji wa mapenzi usitumia nguvu sana lakini una maximamu satsafaction, akikuuliza ni upi huo mwaleze ni lazima tuandaane ili kila mtu mawazo na akili zake ziwe eneo la tukio.
Kitu kingine inaonekana hiyo mwanamke ni mkubwa kwako.

sio mkubwa saana ila kanizidi kdg tu, ila ushauri wako nimeupenda.
 
Nina mpenzi wangu ye ameajiria ofisi fulani na huwa kazi zinambana nafasi yake ni j'pili tu! Na huwa ananitumikisha kinoma akija. Weekend hii nimemwomba asije sijiskii vizuri! We ananiwakia ki ukweli! Nifanyeje? Halafu ndo ananitoa ki ukweli mshiko anao! Jamani nifanyeje?

Kwahiyo asingekuwa na hela usingekuwa teyari siyo? Kwahiyo kama uko after money kubali kuzalilishwa na kuchoshwa hivyo hivyo
 
Kwahiyo asingekuwa na hela usingekuwa teyari siyo? Kwahiyo kama uko after money kubali kuzalilishwa na kuchoshwa hivyo hivyo

mi mwenyewe nampenda sana! Tena sana tu! Ila leo nimechoka na ye ndo hataki kusikia neno kuchoka,kwa kuwa ananijua navyokuwa ktk mudi tatizo nafasi yake ni j,pili tu! Na leo ndo hivyo niko hoi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom