Nikimwambiaga nimechoka ni kesi! Nipeni ushauri!

Toa uroda tu pumbaf**.
Ndo tuseme unauza au?
acha ukahaba uta kuletea matokeo mabaya sana.
 
Samahani kama nitasema maneno ya kukuvunja moyo, ila nikijaribu kuisoma message vema inaonekana wewe mwenyewe huna mapenzi ya dhati kwa huyo binti ndio maana unaona anakutumikisha ikiwa na maana umekuwa mtumwa, na pili uko naye kwa sababu ya pesa alizonazo ikiwa na maana hakuna mapenzi hapo. huwa hakuna kutumikishana kwenye mapenzi ya kweli.Be a Men please.
 
unafikiri sigangamali wangu! Najitoa muhanga mpaka round 7,ila duh! Mwenzangu hachoki haraka!
Ukiona hachoki ujue bado hujamchosha,komaa au badili mapigo uone km hajakumbia.
Ila mara moja kwa week inabidi hata usichoke mkuu.
 
piga mazoezi kijana ma-jim manini nini kukimbia mamisosi ..sio kula nyama choma na bia na kulala lala tu hapo lazima utatolewa out..mimi nilipataga mtoto mmoja mwanamichezo (basketball) kifaa kilikuwa kimeenda hewani kama mimi halafu kina pumzi mbaya..mara ya kwanzi nilipelekeshwa puta ikabidi nirudie carrier yangu ya kucheza kikapu ndio tukaanza kwenda sawa ila ukiendekeza mipombe kijana kazi hutaiweza ukikutana na watu (mademu) ambao wako fit
 
Nina mpenzi wangu ye ameajiria ofisi fulani na huwa kazi zinambana nafasi yake ni j'pili tu! Na huwa ananitumikisha kinoma akija. Weekend hii nimemwomba asije sijiskii vizuri! We ananiwakia ki ukweli! Nifanyeje? Halafu ndo ananitoa ki ukweli mshiko anao! Jamani nifanyeje?

Ndugu yangu, hudumia jimama ilo nalo likuhudumie utafanyaje ss na unapenda vya bure ndugu mh. hutaki io life mkache na uishi independent, kupenda kulelewa mtoto wa kiume sio ishu mh. nakutakia shughuli njema naona jimama kishatinga! dah kama nakuona ulivyokuwa mdogo.
 
Samahani kama nitasema maneno ya kukuvunja moyo, ila nikijaribu kuisoma message vema inaonekana wewe mwenyewe huna mapenzi ya dhati kwa huyo binti ndio maana unaona anakutumikisha ikiwa na maana umekuwa mtumwa, na pili uko naye kwa sababu ya pesa alizonazo ikiwa na maana hakuna mapenzi hapo. huwa hakuna kutumikishana kwenye mapenzi ya kweli.Be a Men please.

ki ukweli nampenda sana na sintaacha kumpenda hadi ndoa! Tatizo lake hataki kusikia eti ooh leo nimechoka au nini! Yeye hukimbilia kudhani ulikuwa na dem mwingine! Hapo ndo ugomvi unapoanzia.!
 
dah,dunia ina mengi...ukitaka kula sharti uliwe...si maneno yangu ni ya Mh Rais, ukitaka cha uvunguni sharti uiname, mtumikie kafiri upate mtaji wako...kama unataka mshiko timiza wajibu wako,fanya kila liwezekanalo uwe vizuri jumapili!
mla huliwa....hakuna cha bure duniani hapa
 
unafikiri sigangamali wangu! Najitoa muhanga mpaka round 7,ila duh! Mwenzangu hachoki haraka!

Round 7 kila Jumapili kwa sababu tu hutaki kutafuta kazi unatagemea maisha katika mazingira magumu. Kabla ya Jumapili anakuwa na nani? kazi gani hiyo ya kuwa bussy the whole week? Kumbuka hilo tendo likigeuzwa chanzo cha pesa linakosa maana yake.
 
I don't comment on this forum - this will me my first time. I simply advise you to learn how to satisfy your lover - number of rounds don't mean she get satisfied - she may be enjoying your fore-plays but she doesn't get there. Ask JF members to give you more techs otherwise you are so naive in love-making. That is what I can offer!

Cheerz

Thanx!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom