Nikimwambiaga nimechoka ni kesi! Nipeni ushauri!

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,933
1,294
Nina mpenzi wangu ye ameajiria ofisi fulani na huwa kazi zinambana nafasi yake ni j'pili tu! Na huwa ananitumikisha kinoma akija. Weekend hii nimemwomba asije sijiskii vizuri! We ananiwakia ki ukweli! Nifanyeje? Halafu ndo ananitoa ki ukweli mshiko anao! Jamani nifanyeje?
 
Sasa kama anakutoa kwanini hutaki akutumikishe? Unavyoumaind huo mshiko wake ndivyo nae anavyomaind kutumikiwa na wewe.
 
kwani nimebisha Lizzy! Tatizo mi nikifika round ya 4 ye ndo anashusha 1 sasa hapo mpaka mnaeoda saaana! Aagh! Mi nachokaga sana!
 
dah,dunia ina mengi...ukitaka kula sharti uliwe...si maneno yangu ni ya Mh Rais, ukitaka cha uvunguni sharti uiname, mtumikie kafiri upate mtaji wako...kama unataka mshiko timiza wajibu wako,fanya kila liwezekanalo uwe vizuri jumapili!
 
he mbona umenitisha! Niliwe tena! Mi kidume cha mbegu ebo! We Michelle vp!
 
Kuliwa ndo huko, kwamba unashughulika na anakutoa kimtindo,it goes both way, wala usichukie na ukidume wako wa mbegu...mbegu zinapanga nyumba na kununua mali na chakula??
 
he mbona umenitisha! Niliwe tena! Mi kidume cha mbegu ebo! We Michelle vp!

Kidume cha mbegu kinatumikishwa kisa mshiko? Tunahitaji neno lingine la kuwatambulisha wanaume wa ukweli.

Nwy ukijua/penda kupokea kua tayari kutoa. Kama huwezi matakwa yake mweleze.
 
he mbona umenitisha! Niliwe tena! Mi kidume cha mbegu ebo! We Michelle vp!

Sasa mbona unaandika kama demu ambaye anaomba kujulishwa nini cha kufanya kutokana na tatizo linalomkabili?

Anyway case yako ni simple, acha papara muandae vya kutosha huyo demu wako asiyeshiba mikwaju!!!!! Hakikisha hilo unalifanya kwa ukamilifu wake, atakuwa ameshaanza safari mapema na wewe ukija hata ukienda mara tatu anaweza kutoa msamaha kama wafungwa wafanyiwavyo tisa demember na siku ya muungano, kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeh!
 
Nina mpenzi wangu ye ameajiria ofisi fulani na huwa kazi zinambana nafasi yake ni j'pili tu! Na huwa ananitumikisha kinoma akija. Weekend hii nimemwomba asije sijiskii vizuri! We ananiwakia ki ukweli! Nifanyeje? Halafu ndo ananitoa ki ukweli mshiko anao! Jamani nifanyeje?

we jinsia gani?
 
PUMBAFU!
Mtakufa kwa UKIMWI.
Acheni uzinzi.
 
Unataka kwenda peponi bila kufa ? Pesa zake ili uzipate kibarua si ndicho hicho ?
 
tumia viungo vingine uwe kama mpiga taipu ili uanze kumchokesha yeye , wewe ukiingia unapiga pushap strait away lazima utachoa , suali wewe ni ki-ngasti ?? kwanini unamind mshiko wake , mapezi hayana TAG PRICE............. kidume !!!!!!!!
 
he mbona umenitisha! Niliwe tena! Mi kidume cha mbegu ebo! We Michelle vp!

Mwanaume mzima utatumikishwaje,mwanaumee au wa kiume!kwa hiyo we hata shughuli zozote hufanyi na unategemea mshiko wa mwanamke!shame!achaga uzoba!kajishughulishe!nilifikiri mwanamke ndo analalama hapa!golddigger
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom