Nikikumbuka naumia sana

Nikikumbuka naumia sana

Wanawake wengi wajinga sana.
Dawa usirudishe moyo nyuma,mwambie nina mpenzj wangu mwingine kwa sasa na tunapendana sana.
Wee jamaa na wewe sijui ndio udomo zege. Yaani upo nae muda wote umeshindwa kula mzigo na baada ya kutoswa nako bado upo tu unang'aa sharubu. Ndio maana watoto wa kike wanakuchezea sana.
Mkuu hapana malezi na dini ndio viliniweka cool kuamini kila kitu na time yake
 
Jichanganye uoe, hicho ni kiporo cha jamaa. Atakula muda wowote wakionana kumjulia hali mtoto, kimbia mkuu hiiiiiiii.
 
Binafsi kosa lako lilikuwa ni kusomesha.Kuna wanawake wengi huko nje wenye tabia nzuri na hawaja zaa so tafuta mke uoe.kumrudia huyo ipo siku utaleta uzi humu tena wa kulia.
Mwache dunia imkomeshe kwa usaliti wake na utapeli.
 
Sawasawa mkuu kwa ushauri wako
 
Narudia tena ... Nisikien ...eny wanaume wenzangu "wadanganyika 7:12 .. Nayo inasema .. Usimsomeshe mchumba au kitu chochote kinachoendana na hicho ,maana utapata taabu sana "mwisho wa kunukuu
Nakubaliana na wewe ndugu mheshimiwwa
 
Back
Top Bottom