Nikikaa kwenye biashara ya mtu, siku hiyo lazima wateja wawe wengi. Nini siri ya hii hali?

Mshana Jr katika ubora wake. Ni kweli tupu. Na watu wa aina hii ni washika pesa yaani huwa hawakaukiwi. Kifupi ni watu wa ngekewa au bahati kubwa.
Nilishawahi kuwa na mpenzi alikuwa hivyo... Kila tukipanga kuonana hata kama sina senti tano mida ikikaribia napata pesa tena sio chini ya laki
 
propaganda za nyota hizo Hiv kuna watu wanaamin vitu Hiv mpaka sasa dunia hii
 
watu wa aina hii mnaonekana mlikuwa misukule wakati fulani ila mkatoroka tunduni, ndio maana....
1,mna wivu na roho mbaya...ndio maana mkishituka watu wanatoboa kupitia ninyi mtatoroka tu sehemu hiyo.
 

Daah, CREOLE umeolewa ? hivi ukiwa unalala kabisa na kuamka na mimi si nitamzidi Mo Dewji... leo nakesha PM kwako kieleweke.
 
Una tatizo la kisaikolojia.
hizo ni fikra umezijenga mwenyewe kichwani ambazo hakuna uhalisia.
 
Anzisha biashara ya vitu vigumu vigumu kuuzika tuone kama hiyo hali yako itafait.
 
Mimi kila nikimla mwanamke anaenda kuolewa na tajiri, nimewala kama WANNE wenye matokeo ya uhakika…. sijui ni tatizo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…