Msema yote
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 448
- 301
Kwani wewe haujaona zawadi aliyopewa Dr. Slaa Marekani hiyo zawadi wamepewa watu wawili tu Dr. Slaa na Obama, teh teh teh!
Napenda kuongeza ,
Hili suala la Lema kubaka chizi huku UK mbona hatujasikia TAMKO?
Wakinijibu haya mimi nitakuwa wa kwanza kurudi KADIMA
aise wale jamaa walofanya utafiti wa mbumbu......... kumuunga mkono DR FASTJET .....Uko poa sana, cheki nae huyu ......nyau tumbiri kabisaaaaaaaaaaa..kha!. fox upo ahahahahaChadema kimehusishwa mara kadhaa katika matukio ya kinyama ya kiuwaji mf kumwagia watu tindikali.kulisha watu sumu na kutishia watu kwa bastola. Kwanini hamtupi watanzaniamajibu ya kutosha?
Mmefanya nn tangu kimeanzishwa zaidi ya maandamano na kuapa kuwa nchi haitatawalika na kuhamasisha vurugu?
Hili jukwaa tungekuwa tunajadili masuala ambayo ni logic tungeweka mchango mkubwa zaidi kwa maendeleo ya nchi yetu, ccm mnaboa..na mnavijitopic vya kifala sana, your senses defeat you unreasonably
Mbina mengine hu edit mods au ndio house of cdm waseme lolote kutukana ccm
Napenda kuongeza ,
Hili suala la Lema kubaka chizi huku UK mbona hatujasikia TAMKO?
Wakinijibu haya mimi nitakuwa wa kwanza kurudi KADIMA
Chadema kimehusishwa mara kadhaa katika matukio ya kinyama ya kiuwaji mf kumwagia watu tindikali.kulisha watu sumu na kutishia watu kwa bastola. Kwanini hamtupi watanzaniamajibu ya kutosha?
Mmefanya nn tangu kimeanzishwa zaidi ya maandamano na kuapa kuwa nchi haitatawalika na kuhamasisha vurugu?
Hao ndiyo wapiga kura.
Chadema kimehusishwa mara kadhaa katika matukio ya kinyama ya kiuwaji mf kumwagia watu tindikali.kulisha watu sumu na kutishia watu kwa bastola. Kwanini hamtupi watanzaniamajibu ya kutosha?
Mmefanya nn tangu kimeanzishwa zaidi ya maandamano na kuapa kuwa nchi haitatawalika na kuhamasisha vurugu?
Kwani wewe haujaona zawadi aliyopewa Dr. Slaa Marekani hiyo zawadi wamepewa watu wawili tu Dr. Slaa na Obama, teh teh teh!
Chadema kimehusishwa mara kadhaa katika matukio ya kinyama ya kiuwaji mf kumwagia watu tindikali.kulisha watu sumu na kutishia watu kwa bastola. Kwanini hamtupi watanzaniamajibu ya kutosha?
Mmefanya nn tangu kimeanzishwa zaidi ya maandamano na kuapa kuwa nchi haitatawalika na kuhamasisha vurugu?
Kama ni kweli uliyosema hebu niambie ni nani kafungwa kwa hivyo ulivyo sema,sasa ndo ujue hayo yote yanapikwa tu na ndo maana mwisho wa yote kunakua hakuna kitu chochote kinachoendeleaChadema kimehusishwa mara kadhaa katika matukio ya kinyama ya kiuwaji mf kumwagia watu tindikali.kulisha watu sumu na kutishia watu kwa bastola. Kwanini hamtupi watanzaniamajibu ya kutosha?