Nikiitupa hii nguo nitapata dhambi?

Nikiitupa hii nguo nitapata dhambi?

Itunze vizuri,ni kumbukumbu kwako,kumbuka ilivyokusaidia kutatua shida zako,ussitupe kwani sidhani kama kuna gharama yeyote utaipata ukiitunza.
 
kuna jambo linanitesa sana jamani .
mwaka jana mwanzoni nilienda ofisi moja ya umma kikazi.nilikuwa nimevaa suruali ya kitambaa ya kawaida tu ya ofsini. nilipofika getini pale nikazuiwa eti hawaruhusu mavazi hayo . nikashangaa maana sikuwa nimevaa jeans wala kipedo .ni suruali ya kitambaa ya kawaida tu ofsini wala haikuwa imenibana kiivo basi tu labda vile mimi mnene maana niliona wanawake wengine wamevaa wanaingia tu fresh.
wakati wale walinzi pale wananigomea kuna mama akaja akanipa mtandio wa dera umechooka mchafu mchafu ila sikuwa na jinsi maana niliiitaji kitu muhimu sana. nilivoingia ndani nikamkuta mdada mwingine akanipa kitenge kizuri na ule mtandio mchafu nikauweka kwenye pochi maana yule mama aliniambia nirudishe.
nilikaa huko ndani kwa muda .nilipotoka sikumkuta yule mama pale ,nikamtafuta sana sikumuona.nikawaomba wale walinzi niwaachie wakagoma. ikabidi niondoke nao
toka jan mwaka jana ninao . naogopa kuutupa .haufai kabisa umepauka ,nilishaufua ni msafi ila sijui niufanyeje . nikitaka kuutupa naogopa roho inauma najiona kama sina shukrani .

Mandela receives his army-style boots from Vicky Swai, the widow of Tanzanian minister Nsilo Swai, on December 12, 1995. [
Mandelaboots161213.jpg
PHOTOs: REUTERS] SABC, QUNU SOUTH AFRICA: Tanzanian President Jakaya Kikwete eulogised former President Nelson Mandela as a man of unmatched charisma in modern times. President Kikwete recalled how the anti-apartheid hero once left his boots in Tanzania during his first visit in 1962 and, which were only returned when he became president. Kikwete revealed that Mandela did not stay in a hotel but in late minister Nsilo Swai’s home. “When Madiba left for Accra, he left behind his boots in the home of the family where he stayed in the hope he could pick them up on the way back. Shortly after arriving back in South Africa he was imprisoned. In 1995, when Mandela was president, the pair of boots was handed back to him,” Kikwete said. Speaking at Mandela’s funeral in Qunu in the Eastern Cape, Kikwete said Mandela and Tanzania’s first President Julius Nyerere built the foundation upon which the two countries’ close relationship was based. Nyerere, after meeting Mandela as he was gathering support for the ANC’s armed struggle against apartheid, allowed Umkhonto we Sizwe (MK), the armed wing of the ANC, to stay and train in the country. “Beyond availing places to live and train, he (Nyerere) offered Tanzania’s own moral and material support,” said Kikwete. “Besides that, Tanzania was generous enough to give cadres of the liberation movement travel documents, passports... and when necessary, some of them assumed Tanzanian names. When Mandela came to Tanzania, he had no passport and intended to go first to Accra in Ghana, then Lagos in Nigeria, and then Addis Abba in Ethiopia.” Kikwete revealed how Mandela was given a Tanzanian passport to enable him travel around Africa and abroad. “He was given a Tanzanian travel document. It facilitated his movement and I know a number of you here used Tanzanian travel documents. I don’t know if Thabo Mbeki returned his,” Kikwete said, which induced laughter, adding “The ANC found a new home in Tanzania from where it operated, organised, spearheaded, and prosecuted the struggle.” FOREIGN DIGNITARY When Mandela visited Dar es Salaam after his release from prison, he was greeted by the biggest crowds ever to meet a foreign dignitary, even though it was raining at the time. “This record has not been broken,” said Kikwete. He recited the close historical links between Tanzania and the ANC, which the apartheid government had banned at the time, severely restricting the movement of members in and beyond South Africa. “Mandela’s charisma was unmatched in modern times and it was no accident that South Africa and Tanzania enjoyed excellent bilateral relations.” “That is why your sadness, grief and sorrow are ours as well. That is why we also join you in celebrating the life of this great man,” Kikwete said. “He has left behind a vibrant democracy. A nation where nobody is denied their basic rights because of the colour of their skin.
Read more at: Jakaya Kiwete recalls how Nelson Mandela left his army-style boots in Tanzania
 
kaa nayo uje msaidie mwingine anayeweza pata shida kama yako au ifananayo nayo
 
Mbwembwe nyingine bana.. ukute hapo kwako unalala na mavvi ya kuku ndani na huoni kinyaa sembuse mtandio?
 
uhifadhi tuu utakua unautumia kujifuta siku unagegedwa
 
kuna jambo linanitesa sana jamani .
mwaka jana mwanzoni nilienda ofisi moja ya umma kikazi.nilikuwa nimevaa suruali ya kitambaa ya kawaida tu ya ofsini. nilipofika getini pale nikazuiwa eti hawaruhusu mavazi hayo . nikashangaa maana sikuwa nimevaa jeans wala kipedo .ni suruali ya kitambaa ya kawaida tu ofsini wala haikuwa imenibana kiivo basi tu labda vile mimi mnene maana niliona wanawake wengine wamevaa wanaingia tu fresh.
wakati wale walinzi pale wananigomea kuna mama akaja akanipa mtandio wa dera umechooka mchafu mchafu ila sikuwa na jinsi maana niliiitaji kitu muhimu sana. nilivoingia ndani nikamkuta mdada mwingine akanipa kitenge kizuri na ule mtandio mchafu nikauweka kwenye pochi maana yule mama aliniambia nirudishe.
nilikaa huko ndani kwa muda .nilipotoka sikumkuta yule mama pale ,nikamtafuta sana sikumuona.nikawaomba wale walinzi niwaachie wakagoma. ikabidi niondoke nao
toka jan mwaka jana ninao . naogopa kuutupa .haufai kabisa umepauka ,nilishaufua ni msafi ila sijui niufanyeje . nikitaka kuutupa naogopa roho inauma najiona kama sina shukrani .
We boya acha uoga tupaaaaa nguo hiyo acha imani zako za kishirikina.... [emoji23] [emoji1]
 
Mie pia Nilishawai kukumbana na hili Ilikua surwali ya kitambaa pia
 
Tafuta mt umpe ucutupe na ukikutana na mwenye mtandio mpe mwingine wa kwako ila uwe mpya ucrejeshe uliyochoka mkuu
 
Hapo miss umekosea na umeonesha dharau sana kwa kuandika ulikua mchafu mchafu. Utunze siku ukimuona umpe
 
Miss Natafuta
kuna jambo linanitesa sana jamani .
mwaka jana mwanzoni nilienda ofisi moja ya umma kikazi.nilikuwa nimevaa suruali ya kitambaa ya kawaida tu ya ofsini. nilipofika getini pale nikazuiwa eti hawaruhusu mavazi hayo . nikashangaa maana sikuwa nimevaa jeans wala kipedo .ni suruali ya kitambaa ya kawaida tu ofsini wala haikuwa imenibana kiivo basi tu labda vile mimi mnene maana niliona wanawake wengine wamevaa wanaingia tu fresh.
wakati wale walinzi pale wananigomea kuna mama akaja akanipa mtandio wa dera umechooka mchafu mchafu ila sikuwa na jinsi maana niliiitaji kitu muhimu sana. nilivoingia ndani nikamkuta mdada mwingine akanipa kitenge kizuri na ule mtandio mchafu nikauweka kwenye pochi maana yule mama aliniambia nirudishe.
nilikaa huko ndani kwa muda .nilipotoka sikumkuta yule mama pale ,nikamtafuta sana sikumuona.nikawaomba wale walinzi niwaachie wakagoma. ikabidi niondoke nao
toka jan mwaka jana ninao . naogopa kuutupa .haufai kabisa umepauka ,nilishaufua ni msafi ila sijui niufanyeje . nikitaka kuutupa naogopa roho inauma najiona kama sina shukrani .
Miss Natafuta hii hadithi ni funzo zuri kwa wengine, chukulia jinsi ulivyojitayarisha kwa kwenda sehemu hiyo husika kikazi lakini ulikataliwa kuingia tu kwa kuwa ulivaa suruali ya kitambaa ambayo ilikuwa haijakubana kihivyo lakini uliruhusiwa kuingia humo ofisini baada ya kupewa mtandio uliyochakaa na mchafu, kwanza jivike nafsi ya huyo aliyekusaidia, kwa kweli anastahili pongezi, pili ikiwa wewe Mungu amekujaaliya kipato ni vizuri ungemnunulia mtandio mpya, kwa kuwa humjui na hujui utampata wapi ni vigumu kumrejeshea hivyo zingatia mambo haya:-
1- Jaribu kujuana na watu wanaokusaidia kwa majina yao na namba zao za simu ili kudumisha urafiki mwema kwani sisi binadamu tunahitajiana.
2- Ikiwa umefanyiwa hisani hiyo, jaribu kumfanyia hata mtu mwingine ili wema uendelee, nunua mtandio mwingine jaribu uwe unatembea nao kwenye handbag ikiwa kwa sudfa utamuona huyo aliyekupa mtandio wake basi mrudishiye huo mpya na kama hujaonana naye basi baki nao huenda ukamsaidia mtu mwingine au hata wewe mwenyewe katika pirika zako unaweza ukauhitajia.
3- Na huo mtandio uliyopewa kaa nao iwe kama kikumbusho cha utendaji wema na uvaaji wa nguo zinazostahili katika sehemu za kazi.
 
Sawa mkuu Asante kwa ushauri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom