Nikifika Tz magazeti gani niyasome?

Nikifika Tz magazeti gani niyasome?

Ndevu mbili

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
379
Reaction score
42
Habari zeni wana jamvi JF!.
Nawapeni hongera zangu kaw kazi zenu na michango yenu zaidi ya mali.
Natarajia masiku yajayo nifike Bongo. Hivi nikiwa napitia habari magazeti gani yatanifaa/kunisaidia zaidi katika upeo wa kujua habari?
Being Presented.
 
Mwananchi,Raia mwema,mwanahalisi na the citizen.
 
Mwananchi, Raia Mwema na Mwanahalisi. Habari zingine utazipata humu humu jamvini.
 
kwa magazeti ya kingereza soma Guardian,Citizen Bussiness times na east African

Kwa ya kiswahili pata Mwananchi,Tazania daima,nipashe

kwa ya makala za kisiasa soma mwanahalisi na raia mwema

kidini soma kiongozi na nyakati

Pia yale the SUN ya udaku yapo...kiu,ijumaa,sani,risasi,uwazi,amani--utajua mengi behind the scene!

Tenders na matangazo usikose guardian,nipashe,mwananchi na wale jamaa zetu wa TSN( Daily News na Habari leo)

the choice is yrs
 
Thank u in advance.
Vipi hizi habari za uchumi zaidi ntazipata magazeti gani pia na siku?
Siri kubwa ya kuja Bongo nimempata muwekezaji so nahitaji niifanye kazi yake kwa ufanisi.
Congrat....JF members.
 
sijui kama wewe ni shabiki wa vyama vya siasa lakini nahisi umechoshwa na ccm,...soma magazeti haya
mwanahalisi na raia mwema-kila jumatano
mwananchi-kila siku
majira-kila siku
usisome nipashe sababu mmliki wake ni swahiba wa kikwete na habari za hilo gazeti mara nyingi haliangalii maslahi ya taifa ila tu kuwashambalia competitors wake kibiashara,..thats when utasikia anaikosoa serikali...usisome kabisa nipashe ,..ukitaka kuwajua ni wakati wa kampeni....pure ccm...hivi mengi analipa kodi,.....bongo joto kali,..umeme wa mgao,...foleni usipime...
 
Thank u in advance.
Vipi hizi habari za uchumi zaidi ntazipata magazeti gani pia na siku?
Siri kubwa ya kuja Bongo nimempata muwekezaji so nahitaji niifanye kazi yake kwa ufanisi.
Congrat....JF members.

Business times na East african
 
sijui kama wewe ni shabiki wa vyama vya siasa lakini nahisi umechoshwa na ccm,...soma magazeti haya
mwanahalisi na raia mwema-kila jumatano
mwananchi-kila siku
majira-kila siku
usisome nipashe sababu mmliki wake ni swahiba wa kikwete na habari za hilo gazeti mara nyingi haliangalii maslahi ya taifa ila tu kuwashambalia competitors wake kibiashara,..thats when utasikia anaikosoa serikali...usisome kabisa nipashe ,..ukitaka kuwajua ni wakati wa kampeni....pure ccm...hivi mengi analipa kodi,.....bongo joto kali,..umeme wa mgao,...foleni usipime...
Ahsante kwa hiyo taarifa yenye masikitisho!
Pia sijui marafiki zangu ntawakuta kwenye hali gani ya kiuchumi? Pia wa Tz kwa ujumla?.
 
inategemea na tabia na hobbies zako mkuu, Tanzania kila tabia na hobbies zina magazeti yake
kama wewe ni mbea na unapenda kufatilia mambo ya watu basi Shigongo yupo kwa ajili hiyo
nk.
 
inategemea na tabia na hobbies zako mkuu, Tanzania kila tabia na hobbies zina magazeti yake
kama wewe ni mbea na unapenda kufatilia mambo ya watu basi Shigongo yupo kwa ajili hiyo
nk.
Mbona unataka nkatisha tamaa hivyo!!!
Ina maana hata nkuja kufisadi nchi na wananchi ntawakuta jamaa?
 
Ahsante sana!
Hivi Radio stations & Tv chanels zipi zanifaa?
Maana me nimpenda mabadiliko ya kweli.

tv stations na radio bado wana vijimambo fulani lakini ITV siku hizi naona wameamua kujilipua,wana cover mambo mengi
 
we mnafiki tu, unafanya research kujua kijarida chako na Viredio vyenu (Alhuda na Raido Kheri) vina wapenzi!! Huna lolote!
 
we mnafiki tu, unafanya research kujua kijarida chako na Viredio vyenu (Alhuda na Raido Kheri) vina wapenzi!! Huna lolote!

Umenfanya nivunjike mbavu zangu!
Hivi umepima vipi kujua unafiq wangu ndugu?
Jina hilo halinifai kabisa nina heshima zangu ambazo siwezi kusifiwa hivyo!
Nmekuheshim sana na Mods....ningekurushia neno hiloooo!
Ila najua hujui unenalo.
Endelea kunipa maelezo vzuri.
Najua si akili zako muda huu!
Umeshachakachua hata consious zako!
 
hivi wewe unakuja na topiki gani humu JF? ninahisi kichwa yako ina walakini im telling you. Hata kama huko kona gani ya dunia magazeti yote maarufu ya Bongo yako kwenye mtandao mpk ya udaku na kila mtu makini anayasoma huko aliko sasa wewe kuja kutuuliza gazeti gani usome tutaweza vp wakati hatujui hobbies zako, hatujui mwelekeo wako ni wa kisiasa, kibiashara au kiuchumi? kwani ukifika si utakuta magazeti yanauzwa tena bei rahisi tu kwa nini usinunue yote ukasoma na ukiona lenye mwelekeo wako ulichukue, hata TV au Radio ukifika utazikuta ziko hewani na utachagua ipi ya kusikiliza

umeuliza swali la kijinga sana nachoweza kuconclude ni kwamba kuwa kwako nje hakujakusaidia kwa lolote zaidi ya kukufanya uwe zuzu zaidi

NB: Niko radhi hata kupigwa BAN kama nimetumia lugha ua kukwaza ila topiki hii imenikera na nimegundua kuna watu dunia hii hawajafumbuka akili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom