Ndevu mbili
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 379
- 40
- Thread starter
- #21
hivi wewe unakuja na topiki gani humu JF? ninahisi kichwa yako ina walakini im telling you. Hata kama huko kona gani ya dunia magazeti yote maarufu ya Bongo yako kwenye mtandao mpk ya udaku na kila mtu makini anayasoma huko aliko sasa wewe kuja kutuuliza gazeti gani usome tutaweza vp wakati hatujui hobbies zako, hatujui mwelekeo wako ni wa kisiasa, kibiashara au kiuchumi? kwani ukifika si utakuta magazeti yanauzwa tena bei rahisi tu kwa nini usinunue yote ukasoma na ukiona lenye mwelekeo wako ulichukue, hata TV au Radio ukifika utazikuta ziko hewani na utachagua ipi ya kusikiliza
umeuliza swali la kijinga sana nachoweza kuconclude ni kwamba kuwa kwako nje hakujakusaidia kwa lolote zaidi ya kukufanya uwe zuzu zaidi
NB: Niko radhi hata kupigwa BAN kama nimetumia lugha ua kukwaza ila topiki hii imenikera na nimegundua kuna watu dunia hii hawajafumbuka akili
ID yako yenyewe inanikosesha jibu gani n'kupe?
Kwani humu maswali gani ulioyaona yana akili?
Humo kwenye mtandao niandikeje? Ili niyajue magazeti yote ya Bongo?
Humu ndipo nmeona ntapata msaada kwa urahisi zaidi...hata hivyo nmewashukuru ma-member tena THINKERS wamenisaidia kuyajua hayo magazeti pia TV chanels.
Uliamka na Hangover za offer!
Samahani kama nimekukwaza. Nmeona nseme yalio moyoni.
Mod asikupe BAN. Ila ujifunze kuchangia....threads.
Humu JF kuna Titles za ajab ajab but hatusema pumba kama wewe!
Kila mtu anasaidiwa hii ndio JF ilivyo na imesaidia na inatusaidia wengi.
Asiefunzwa na .........atafunzwa na.........!