Nikifika mwisho lazima haja kubwa itoke

Nikifika mwisho lazima haja kubwa itoke

Uwe una puuu kwanza ndio unapiga mzigoo, nenda hospitali sio kusema sema hapa jf
 
Mwanaume anapokojoa hubana makalio sasa we upande wako inakuwajee
 
Habari, nawasalimu,

Barua yangu ni fupi tu kwenu,

Nimekua rafiki yenu hapa kwa Muda sasa, na nimeandika hapa mara kadhaa kwa mambo mbali mbali, hata hivyo tatizo hili sijawahi kulisema kwa aibu, sasa nimeona kama vile linaendelea nimeona niliseme ili nipate msaada.

Ni kwamba, nikiwa na mwanamke kitandani, wakati nafikia mshindo lazima vipingili vya haja kubwa vitoke kama mavi ya mbuzi yanavyokua na kila bao inakua hivyo, siku za nyuma wasichana wengi niliokua nao hawakufahamu hili, nilikua nikijificha ficha sana, na mara nyingi mimi hupendelea kufanya usiku, ila wapo walioniona na kunikimbia.

Shida inakuja kwa sasa ninaishi na mwanamke kupika na kupakua ingawa hatujafunga ndoa, kwa Muda tuliokaa nae ameshaligundua tatizo hili na linamkera sana, na hali sasa si nzuri, nashindwa kumuelewa huyu mwanamke sababu mwanzo tulipoanza mahusiano alidai hawezi kuendelea na mimi kama nisipotahiriwa, tutagombana sana, nikalazimika kukiuka mila nikatahiriwa, hili tatizo lingine tangu mwanzo analijua pia na tulikubaliana tutasaidiana kupata ufumbuzi, cha ajabu sasa hivi amebadilika kabisa, kwamba ni kero kubwa kwake, na kwamba nisipotafuta ufumbuzi eti nisimlaumu

Wadau huyu mtu ananipenda kweli? Au anatafuta sababu ya kunikimbia? Tatizo dogo tu hivi linaweza kufanya mtu anaekupenda akakukimbia?

Na je kuna mwingine humu amewahi kupata shida kama hii yangu?

Maana huwa ninachukua Muda mrefu sana kumaliza mshindo mmoja na nikifika mwisho lazima haja itoke kidogo.

Kuna anaejua dawa ya tatizo hili?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unazani hilo ni tatizo dogo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole mkuu embu kuwa unafanya mazoezi ya kubana kubwa .. ukiwa unakojoa usijilegeze sana na usiwe unajikamua wewe acha mzigo utoke pole pole japo najua ni ngumu... tatizo lako unatoa vya ujazo yani unakojoa kwa kupush sana yani.... embu jaribu hili nimeongea kutoka na experiance niliyonayo ya wanaume wanapokojoa ila sijakutana na tatizo lako... wengine ujikamua na hutoa cha ujazo, wengine ulegea na kuacha vitu vitoke wengine ukakamaaa , wengine hupiga yowe , wengine hugugumia... sasa wewe utakuwa unapush
mwambie demu wako awe anakutia dole unapokaribia kushushia ili pazibe[emoji12]
 
Mwenye tatizo ndo anajua,... Asikuwa nalo atakubeza tatizo lako halipo kweny muscle of relaxation tatizo lipo ndan,.. Kuna muscle imeungana na njia ya enjaculation ambayo ni antagonist kwa wanaume wa kawaida ina contract wakati wa injaculation ila wewe ina relax kwa sabb ya iyo muscle,...nenda hospital mkuu wakusaidie umu watakubeza tu kwa sabab hawajui chochote, nenda hospital watakusaidia pole sana,.. Nenda pale ccbrt,..
 
Aisee Hilo tatizo ni kubwaa wewe huoni inakata stm tena huyo dem anakupenda angekua akupendi asingekaa na ww hivyo
Njoo Jb herbal clinic kwa Tiba mbadala za uhakika
Watsapp kwa maelezo zaidi 0752841018

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmmh!!!

Hiyo ni muscle relaxation gani bwana mdogo inayofanya hadi misuli isiyohusika kunyong'onyea hivyo...
Utamu baba utamu

Haujawahi kumuacha mtu salama

Kuna mahali kuna dada alikuwa analalamika bf wake akila akifika mshindo lazima akimbilie chooni kushusha...hata kama watafanya mara 4...lazima akashushe mara 4
 
Mpaka sasa Sijamwona Mzizi Mkavu kwenye huu Uzi inawezekana hili tatizo ni jipya kwenye uso wa Dunia...........

Fika tu hospital mapema, usipo ziba ufa unaeza kupatwa na gharama za Kujenga ukuta.....!
 
Pol sn.
Hebu jaribu kufanya kegel exercise(mazoez ya kegel) kwa wiki mbili mfululizo kutwa Mara 3 huku jumamos ukipumzika.

bwayhermitTz
 
Back
Top Bottom