Nikichaguliwa Sitalipiza Kisasi!!!!!

Nikichaguliwa Sitalipiza Kisasi!!!!!

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,357
Reaction score
100,374
Hayo maneno yenu hayo, taratibu jamani!

Kila anayepewa nafasi ya kujinadi/kutangaza nia ni lazima aseme kuwa hatalipiza kisasi akichaguliwa!! Haya maneno yanabeba ujumbe mkubwa sana. Tafadhali kama mna ugomvi wenu malizaneni huko huko mtuachie nchi yetu salama.
 
Usijali
Usalama upo
 
Kisasi kwa nani ? Kwa lipi walilotendwa? Tutaaminije kauli hii?
 
Back
Top Bottom