Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Sina shaka na hii kauli tena,Ukinagali wanojiita wasomi wa bongo ktk siasa, haswa ktk maCCM kwani kwani ktk vyama vingine wanajiondoa wenyewe, ukingalia ktk vyuo vyetu,walimu na wafanyakazi,utendaji uelewa wao na hata ubunifu au productivity.Utakubalina nami kuwa wageni wana haki ya kutowapa kipaumbele watanzania,na wakiwapa basi wawalipe wenzao zaidi kuliko haya makitu ynayaojiita misomi ya kitanzania kwa vipimo vya CCM.
Hii misomi ya div 5 ,voda fasta, walimu wa UPE etc ndio wametufikisha hapa.Tuna maprof wehu, tuna vijana wanajifanya wanajua democrasia na wamesoma halafu wanafanya vitu ambavyo watu wa class 7 wanaona ni ujinga kabisa.
Narudia wageni wana haki sana ya kuwalipa wabongo hela ndogo for sometimes , pakiwa na exception kwa wale wachache wanaodanya kazi kwa bidii,huku wakitumia akili zao muda wote na kuwa na ubunifu km CDM.Otherwise wengine kmwameuza dada zao,ardhi, na rushwa ndio wapewe sadaka zao ili wafe kwa dhambi zao.