Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,198
Kinachoendelea ktk hii nchi hadi sasa ni ni mkwamo mkubwa.Huu mkwamo umekuja baada ya CCM kuchukua haraka haraka agenda za UKAWA na kuziwahisha kwa wananchi.Tatizo linakuja huwezi chukua TITLE AND THE CONTENTS katika kitabu. Huu ni wizi wa kazi za watu( Plagiarism ).Ila dunia ya leo ni rahisi sana kulinda kazi zako. mfano ni UKAWA, walitaja tuu Titles, na contents kidogo tuu CCM wakadhani ni rahisi na wanaweza accomodate ktk sera zao. Details UKAWA wakabaki nazo. CCM wakaanza ringa kwamba ukawa hawana kipya tena kwa vyote watafanya wao.
CCM chini ya manguli wao ambao wameingia ktk game na kushindwa meza matapishi yao.Walidhani kuiga sera za watu ni rahisi km wanavyoweza weka mstari ktk cv zao. CCM KWA AKILI ZA WANASESERE WALIDHANI WANAWEZA TENGENEZA ATOMIC BOMB KWA SKELETON YA VIDEO ZA KWENYE YOU TUBE.
Tatizo la ccm ni kutaka kuwa masters wa kila kitu.Bila kujua dunia ya utandawazini ngumu haswa kwa wajamaa.Ni kitu hawawezi hata kuota. taota vipi SUBMARINE KAMA HUJAWAHI hata iona katika movies?Matokeo yake tumeona jinsi wameshindwa digest elimu kuwa bure(Hawajui itakuwa funded vipi), Elimu bure hawajui ni vipi wataweza accomodate shule za binafsi.
Mahakama ya masifadi, hawajui hata masifadi ni nani?Hawajui hata ni vipi watajilinda na huo ufisadi.Kwa ujumla ni fujo.
Tumeona migogoro na watu binafsi katika kila sector, serikali imeanza tabia za kama za utaifishaji.Serikali imekuwa mfanya biashara badala ya mrekebishaji wa parameters muhimu kwa soko huria.
Tumeona serikali imefikia mahali hata issue za dharura inachanganya na uwajibikaji wa raia mmoja mmoja.Tumeona serikali haijui tena tofauti ya dharura na mipango ya muda mrefu.
Tumeona serikali imechukua utawala bora,ila hakuna tena mipaka ya mihili rasmi ya nchi na hata ile isiyo rasmi kama vyombo vya habari. N ahiyo mipaka inavukwa na serikali ya ccm.
Tumeona mikataba ya kubeba mashirika mzigo ya serikali ili kuua sector binafsi.Ni ishara serikali imechanganyikiwa na haijui tena mipaka yake, majukumu yake, na njia bora za kufanya kitu.
Je tuwalaumu ukawa kwa kutowapa hawa jamaa full manual?Ni ngumu kuwalaumu kwa vile wao ndio wenye mawazo,na wao ndio wana uwezekano wa kuyatekeleza kwa ufanisi.Pia ukawa kuwapa ccm manual bado ccm wanaweza endelea na siasa zao mwisho wakapotosha wananchi,na pia wakashindwa tekeleza kwa vile pia nia ni kitu muhimu.
Lawama nyingi zitaelekezwa kwa wadau wengine wa democrasia.Majeshi,Polisi, mahakama, wapiga kura wasiowajibika, na HAO WANAOITWA VIONGOZI WA KIDINI,WASOMI UCHWARA,WANASIASA UCHWARA,WAANDISHI WA HABARI.Wote hawa ni wepesi kuikoa CCM ktk dakika za lala,salama, ila hawana uwezo wala nia ya kuirudisha CCM katika kitanzi, kwa kuindolea dhamana.Ni hao hao hawapo tayari hata kuomba radhi watanzania kwa mambo waliyofanya halafu leo ccm inawaangusha na hawana uwezo wa kuifanya kitu.
CCM imepotea sana, wakati wanajisifu kuwa chadema ni wajinga wanawaeleza ccm kila kitu kwa hiyo ccm wanachukua bure na kuendelea kukaa madarakani.Chadema walianza kuwalisha zaidi na zaidi vitu VITU VINAVYOHITAJI WATU WENYE UELEWA KULIKO CCM,WATU WENYE MAADILI KULIKO CCM NA VYOMBO VYAKE,WATU WENYE DIRA KULIKO MAKANJANJA WA CCM.WATU WENYE UWEZO NA TAALUMA KULIKO MAPROF WA KUPIGINA UPATU KTK VYUO VYA UMMA.Sasa hivi CCM hawana cha kujitetea zaidi ya kukimbiza kivuli cha chadema. Bahati MBAYA ZAIDI HATA ULE UONGO KWAMBA TIME WILL TELL WATU WAIPE CCM MUDA INA MIPANGO MIZURI .SASA TIME IS TELLING UKAWAZ STORY.
The sad story kwa CCM ni kwamba hata chadema wakiwapa documents zote za siri za chama kuna uwezekano mkubwa ccm wanaweza pata msisimko hadi wajinyee.Ila wao na machinery yao yote(Sijui manguli) hawatakaa waweze zielewa kwa level ya kuweza tengeneza counter plan.Watakachoweza ni induce ni time wastage and human suffering.