NIkiangali CCM,nikiangalia wasomi wa vyuo vyetu:Nakiri wageni wanastahili walipa wenzao zaidi.

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,261
7,195
Sina shaka na hii kauli tena,Ukinagali wanojiita wasomi wa bongo ktk siasa, haswa ktk maCCM kwani kwani ktk vyama vingine wanajiondoa wenyewe, ukingalia ktk vyuo vyetu,walimu na wafanyakazi,utendaji uelewa wao na hata ubunifu au productivity.Utakubalina nami kuwa wageni wana haki ya kutowapa kipaumbele watanzania,na wakiwapa basi wawalipe wenzao zaidi kuliko haya makitu ynayaojiita misomi ya kitanzania kwa vipimo vya CCM.

Hii misomi ya div 5 ,voda fasta, walimu wa UPE etc ndio wametufikisha hapa.Tuna maprof wehu, tuna vijana wanajifanya wanajua democrasia na wamesoma halafu wanafanya vitu ambavyo watu wa class 7 wanaona ni ujinga kabisa.

Narudia wageni wana haki sana ya kuwalipa wabongo hela ndogo for sometimes , pakiwa na exception kwa wale wachache wanaodanya kazi kwa bidii,huku wakitumia akili zao muda wote na kuwa na ubunifu km CDM.Otherwise wengine kmwameuza dada zao,ardhi, na rushwa ndio wapewe sadaka zao ili wafe kwa dhambi zao.
 
Umenena vyema. Huwezi fundishwa na mwalimu aliyeandaliwa kama CHAPATI alafu ukategemea BIG result. Vodafast teachers yaani matayarisho yao hayakuwa tofauti na uchomaji wa chapati. ilikuwa pa pa kitu tayari nenda class.

Hapo CCM wanajivunia kuwa na walimu wa kutosha. Kwel CCM 0 (zero) brain
 
Umepewa pesa ya kifurushi na mh Zitto mbona ulikuwa uonekani?

Hivi voda fasta km Zitto?Wapi ulisoma Hela ya yuda ilipata wa kupokea?Sasa km maCCM ktk mazungumzo y akawaida mnatia huruma hivi ,itakuweke ktk intense discussions na negotiations au deal making.

Zitto mwenyewe zaidi ya ile definition ya desa za mlima hajui maana ya Democrasia ndio maana anakimbizana kila mahali km makamba wakipiga kelele EUREKA kuwa wamegudua..halfu wakisikilzwa wanongea udictator...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom