Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Napenda kumshukuru tena Rais kwa kuwasukumiza wasomi wasanii wa hii nchi hadi mwisho wa uwezo wao. Kawaleta wengi na wamechemsha ktk kipindi kifupi. Sasa mjadala utakuwa rais sana ,linapokuja swali km elimu inayotolewa ktk vyuo vyetu ina viwango na ni sahihi .Tulizoea kuambiwa kuwa huko nje wakishindwa ni chuki za watu wasioitakia nchi mema,ni ubaguzi. Tulizoea kuambiwa kwamba elimu yetu ipo juu sana.Tuliambiwa mengi yaliyowapa kiburi wasomi wetu.Tuliambiwa mengi sana ,ila kwa vile hakuna tofauti sana ya ma Prof/Dr. . wa jadi na waliopitia ktk mfumo wa kizungu ktk nchi hii. Wote wanavimbishiana vifua mitaani. Na mara nyingine hata hawa Mfumo wa kizungu wenye asili ya Tanzania huwa wananyoosha mikono na kwenda omba msaada kwa hawa wa Madr/Maprof wa kienyeji.
Tutafanya nini km prof kapata Vyeti kwa kuwa kada wa chama, km prof somo la logic alikuwa akijiandikia tuu T/F na kusema somo rahisi sana km wale waumini wenzani ambao huwa wanasali sala fulani bila walizokariri huku wakiangalia TV bila kuweka fikra?Tutafanya nini sasa km prof miaka yote anatunga mitihani haijibiki halafu anachagua watu wangapi wafaulu , nani ampe marks bure, nani ampe za rushwa,nani ampe marks ili apande mbegu baadae aje pewa post za kisiasa. tifanyaje km hawa ndio wasomi wetu wanaodhani kumfelisha watu kunawafanya waonekane walisoma na wanafundisha somo gumu sana na wao tuu ndio wanaliweza?
Hawa ndio watu wenye haki miliki ya upuuzi wa propaganda za kijamaa, na vsingizio vyote vya kuelezea kwanini hawafanikiwi huku wakijificha nyuma ya vyeti na taasisi za serikali.Na hii ni ktk mahospital na vyuo vya serikali. Wanataamula hayo maeneo hawajawekewa kipimo cha kuaminika.Yaani cheque yao ni blank.
Hawa ndio wasomi wasiogopa hasara kwa nchi, na walishazoea kuanzia ktk vyuo .Huko waliweka upuuzi wao mbele kuliko hasara kwa umma na kulinyima taifa wasomi wa kutosha na wenye weledi.Hawa ndio wasomi wanaoweza endesha propaganda km za wachezaji wa simba na yanga ktk vyombo ya habari na vyombo vya dola vilivyojaa wanafunzi wao wenye akili km zao.
Hao ndio wasomi ambao wanakubali kwamba mwalimu wao wa shule ya msingi wamempita ila hawana uwezo wa kujua nao pia wanaweza kupitwa na wameshapitwa na wanafunzi wao mbao walisoma LOGIC vyema.Hata km walipewa marks ndogo na hawa wasomi wenye magenge ya kuvizia ofa za kisiasa ktk vyuo vyetu vya serikali. Ndio hao wanajikuta mikononi kwa wanafunzi waliowapita km wao walivyowapita walimu wao wa msingi.Wanafunzi km akina Tundu Lissu.
Tufanye nini zaidi ya kufumua vyuo vyetu vya umma na mahospital. Km tuna wasomi wanaoweza KUTUAMBIA TUSUBIRI KUONA MATOKEO KWANZA badala ya kuja na risk analysis ya uhakika na sio maigizo na report za kupika km tulizozoea ktk nchi hii.Report nyingi za nchi hii ni riwaya dhidi ya vitu vya wazi.Kwa raia walioporwa logic ,obvious thing inaweza onekana ni ubashiri mkubwa.Kitu ambacho hata waganga wa kienyeji ndicho huwa wanafanya.Siwezi shangaa ktk nchi yenye record mbaya ya ushirikina km sisi.Hata ndugu zetu wenye vipara, na ulemavu wa ngozi wanaweza thibitisha hili.Nchi yetu si ajabu kumkuta Dr msomi akienda tibiwa kwa mganga wa kienyeji dalili za malaria badala ya kupima damu yake.
Ni hawa hawa wasomi waliogeuza vyuo vyetu kuwa viwanda vya wasomi wenye kujilinda kwa propaganda na ushabiki km wachezaji wa uswahilini. Ni kawaida sana washabiki wahuni km wa Abajalo kuingia na wachezaji wao uwanjani kwa nguvu asizoweza kuzuia kocha wa timu. Sasa hivi ni kawaida sana kwa Tanzania ya CCM na wanasiasa vibaraka wao.HAwana viwango km wanavyojaza media zetu na uozo.
Tamko la Dangote limefumua siri ktk sheria za haraka haraka za madini.Ile sheria ilepelekwa fasta km ilivyo rahisi kwa wana ccm kutoa matamko tuu hata kwa vitu wasivyojua. Sasa tunaona jamaa wanavyoto amatamko ktk mali za watu, uwekezaji wa watu.wawekezaji wenye mitaji ambayo hatuna.NI wazi walitumia akili zaidi ya hawa wapiga propaganda wa africa wakijidai wakombozi kumbe ndio wafilisi wa Africa. Sasa km wenzao walikuwa na akili kubwa na tabia njea za kupata mitaji,iweje wasiojua chochote,watu ambao Mengi aliwauliza km walishawahi hata kuwa na duka lenye manufaa.Hawakuwa na majibu,ndio waanze pangia watu?Kwanza wasichojua wababaishajjiw a kitanzania ni kwamba.Duniani kuna nchi kibao zenye dhahabu kuliko sisi, uchina, marekani,urusi etc wana nyingi kuliko sisi..
Ningeshauri sasa iwe Prof. Kabudi na Makinikia yake wawe wa mwisho. Sasa ni kufumua vyuo vya serikali, media za serikali, hospital za serikali. Kisha wizara. Watu wenye kupigiana debe, haswa walimu wa vyuo ambao wana wanafunzi wao vilaza ktk taasisi za umma ni kufumua tuu .Wana ushawishi sana, na kuna cycle ya kulipana fadhila vibaya kiasi cha kufanya watu kuishi kw anetwork kuliko weledi.
Tanzania ilipofikia unaweza pata ugonjwa wa moyo, unapoamua kuangalia kwa makini wasomi wetu.Haichukui muda visingio vinakuwa vingi, mipango yao mingi haina uhasilia. Tupo ktk hali mbaya sana. Wasomi wengi hawafai huko vyuoni na hawafai mitaani na hawafai ktk serikali. Wao ndio wanatoa elimu mbaya.Kisha wanatumia nguvu nyingi kuficha madhara mitaani, kwa kwenda kupoteza ushahidi kila wanapopewa nafasi za kuwa ktk wizara au kuwa washauri ktk taasisi mbali mbali.
Baada ya akina Mkumbo, Muhongo, sidhani km kuna mbaye alikuwa celebrated km prof Kabudi na makinikia yake.Wanatuambia tusubiri tuone nini?Sasa tumeona. Waadhibiwe na walipe wao. Km professor hawezi anabisha kuwa mawingu haya sio ya mvua anakomaa ttuache unga nje, ukinyeshewa basi asile na alipe unga.
Hawa waomi wa kitanzania WAPOO SO MUCH DISHONEST kiasi cha kuwafanya hata ktk mijadala siku hizi hawajiandai km ilivyo kwa wabunge na mawaziri wa ccm.Huwa wanakuja na hoja nyepesi kisha wanapima upepo km upande wa pili upo superior kiasi cha kuwashinda hawa jamaa kuuza upuuzi wao,huwa wana switch side na kuanza jidai wapo neutral au wana wazo moja ila lugha tofauti. wapo neutral ktk kila kitu.Na ni wezi wa kila aina ,wamefikia mahali hawana kitu halisi wanajua au upande wanaosimamia.Utawasikia kila mara wakidai majadiliano.Ndio njia nyepesi kujificha.Hawa wasomi hawaheshimu sana kazi za watu wala mipaka ya kijamaa, huwa wanachukua tuu misamiati ya kibepari na kuitumia vibaya. Ndio CV zao zimejaa kila msamiati hata mingine inapingana.Utajikuta wakijibandika Title za ajabu ajabu ili wapate nafasi ya kuongea ktk media ktk kupotosha watu.Wana version ya kuongelea mapungufu ya democrasia ya marekani na version ya kuongea ukomavu wa kidemocrasia nchini chini ya CCM.