- Thread starter
- #21
HapanaUnajua ana view status ngapi just now??

Kabisaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]usichotaka kusikia ni kwamba ,hiyo ku view status haina maana yoyote.
🤣🤣 kujipost marufuku?Unaweka ila mara nyingi iwe ni picha ya ugali mkubwa wa dona ule panya haruki na dagaa mixer bamia na nyanya chungu
Kaaaazi kweli kweliWakuu nina rafikia wa kike aliposting picha ya rafiki yake status whatsapp nikampenda nikamuomba namba akanipa.
Nikamtafuta nikamuambia flani kanipa namba yako akasema poa nikaa kama week nikamuomba tuonane akakubali tukaonana tukafahamiana nikamueleza ya moyoni akaniambia nimekusikia nikamuambia sawa.
Tukaendelea kuchati vizuri saana as friend huku nikisubir majibu tukachati nikamuomba appointment akakubali , sikutokea, nikamuomba radhi akakubali nikamuomba tena nyingine akakubali bahati mbaya sana nikabanwa na majukumu sikutokea nikamuomba radhi akasema hakuna shida.
Baada ya mda akaanza kubadilika nikawa nikimtext hajibu aua anajibu kwa kuchelewa simu ndo kabisa hapokei, nikaendelea kukoma nikamuomba appointment akawa anagoma anasem yuko busy , siku ya siku akakubali nikaenda daah akaniambia.
"Wewe unanijua mimi? Nikamuambia kiasi chake
Akaniambia yeye ana mtu hawezi date na mimi nikamuambia poa naheshimu maamuzi yako akasema poa. Nikasepa zangu.
Tokea hyo siku sikuwahi mtafuta wala yeye hakuwahi nitafuta.. ila cha ajabu ni kwamba
Kila nikipost status anakua ni wa kwanza ku view yaani ni just now na ni zaidi ya miezi bado yeye anakuwa ni wa kwanza kuview status zangu sijui
Anawezaje ni mara chache sana anakua sio wa kwanza. Sasa hapa najiuliza ni kwa nini sijui ndo ame ni pin au sielewi.
Soma alama za nyakati wewe nyinyi ndio mnalishwagwa mavyakula ya ajabu na wanawake pumbavu wewe ulikwisha ulizwa swali sasa unatuuliza swali tena?Kila nikipost status anakua ni wa kwanza ku view yaani ni just now na ni zaidi ya miezi bado yeye anakuwa ni wa kwanza kuview status zangu sijui
Anawezaje ni mara chache sana anakua sio wa kwanza. Sasa hapa najiuliza ni kwa nini sijui ndo ame ni pin au sielewi.
daah akaniambia.
"Wewe unanijua mimi?
Mkuu unaishi ki primitive saana kila mtu he/she has own choice in this life.Bado una tabia ya kupost status na kucheck viewers?? [emoji1787] .. basi we bado immature. Nashauri achana na ishu za mapenzi deal na mambo yanayokuingizia pesa,itakusaidia sana.
Futa.namba.zake.asione postWakuu nina rafikia wa kike aliposting picha ya rafiki yake status whatsapp nikampenda nikamuomba namba akanipa.
Nikamtafuta nikamuambia flani kanipa namba yako akasema poa nikaa kama week nikamuomba tuonane akakubali tukaonana tukafahamiana nikamueleza ya moyoni akaniambia nimekusikia nikamuambia sawa.
Tukaendelea kuchati vizuri saana as friend huku nikisubir majibu tukachati nikamuomba appointment akakubali , sikutokea, nikamuomba radhi akakubali nikamuomba tena nyingine akakubali bahati mbaya sana nikabanwa na majukumu sikutokea nikamuomba radhi akasema hakuna shida.
Baada ya mda akaanza kubadilika nikawa nikimtext hajibu aua anajibu kwa kuchelewa simu ndo kabisa hapokei, nikaendelea kukoma nikamuomba appointment akawa anagoma anasem yuko busy , siku ya siku akakubali nikaenda daah akaniambia.
"Wewe unanijua mimi? Nikamuambia kiasi chake
Akaniambia yeye ana mtu hawezi date na mimi nikamuambia poa naheshimu maamuzi yako akasema poa. Nikasepa zangu.
Tokea hyo siku sikuwahi mtafuta wala yeye hakuwahi nitafuta.. ila cha ajabu ni kwamba
Kila nikipost status anakua ni wa kwanza ku view yaani ni just now na ni zaidi ya miezi bado yeye anakuwa ni wa kwanza kuview status zangu sijui
Anawezaje ni mara chache sana anakua sio wa kwanza. Sasa hapa najiuliza ni kwa nini sijui ndo ame ni pin au sielewi.
HAITAKIWIKumbe haitakiwi kuweka status kwa mwanaume?
Haijakaa sawa iyo brooo 😀😀 mpka ku viewHAITAKIWI
Mwanamume haweki status wala kuview status za wengine
Kuview status ya mtu ni utumwaHaijakaa sawa iyo brooo 😀😀 mpka ku view
TAFUTA HELAWakuu nina rafikia wa kike aliposting picha ya rafiki yake status whatsapp nikampenda nikamuomba namba akanipa.