Nikaushe au niendelee kujipa moyo?

Nikaushe au niendelee kujipa moyo?

Hivi mwanaume unapata wapi nguvu za kiangalia nani kaview status zako? Na kuangalia status zako sio kigezo kwamba anakupenda sana jiulize anaangalia status ngapi na wangapi atawapenda? Ulishapoteza nafasi yako mwanaume unaombaje mkutane mara zaidi ya mbili na usile tunda.

Punguza utoto ukiingia kwenye mahusiano kwa akili ulionayo utateseka nyie ndio wale mnachunguza simu za wapenzi wenu ukikuta naaview status za wanaume wengine unavimba 😂😂 ushamba wa maswala ya mitandao utakupotezea sana muda wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom