Nikasomee masters ipi?

Nikasomee masters ipi?

Duuuuuuuh mi nimesomea Bachelor of art with education hist na kisw nikajua ya kuwa nikijiendeleza naweza kuwa vizuri kiuchumi
 
Ni aibu kwa msomi unayejiita Dean of Students hujui hata ukasome masters ipi itayokufaidisha wewe mwenyewe na tamaa za tumbo lako.. Hii ndiyo ile inaitwa Rat Race, ukishamaliza hiyo masters na unafuu wa maisha hujauona utarudi kusoma PhD.. Ukimaliza na hiyo PhD mambo yakiwa mabaya utaanza kulia lia kama yule Mkuu wa Mkoa aliyetoswa.. Ni aibu sana
Mkuu mi nmemuliza kasoma degree ya nn kakataa kujibu na PIA I'd yake Ina maana kubwa Sana katika mazingira vyuoni A dean of students Haaa Haaa.
 
Ndugu zangu kuna vyuo vingi vinatoa masters sasa kwa kuwa humu ndani kuna wajuzi wa mambo na ndio maana nawauliza sio kwamba sijui chochote najua ila nataka nikasomee kitu chenye maana
 
Sasa kama Serikalini Masters hazitambuliki kwa nini watu wanasoma? na je ina maana Tanzania elimu mwisho ni degree tu
 
Achana na porojo nenda kasome kuna baadhi ya nafasi huwezi pata pasipo master kama DEO, Ukaguzi n.k. By the way hiyo ni career development yako business hata mbulula anafanya ila master ina kitu kinaitwa minimum requirements hii sentensi humaanisha kuna watu hawatakiwi kabisa kwenye level hiyo ya elimu.

Nenda soma faulu vizur biashara zipo ukirudi utazifanya utaziacha ila muda wa kusoma ni limited.

Anywa kumbuka kichwa hakiozi.

Kila la kheri.
 
Sasa jamani nikasomee masters ipi kati ya hizo hapo juu kwa maana sijaona hata mmoja kasema nikasomee koz gani?
 
Achana na porojo nenda kasome kuna baadhi ya nafasi huwezi pata pasipo master kama DEO, Ukaguzi n.k. By the way hiyo ni career development yako business hata mbulula anafanya ila master ina kitu kinaitwa minimum requirements hii sentensi humaanisha kuna watu hawatakiwi kabisa kwenye level hiyo ya elimu.
Nenda soma faulu vizur biashara zipo ukirudi utazifanya utaziacha ila muda wa kusoma ni limited.
Anywa kumbuka kichwa hakiozi.
Kila la kheri.

hakuna anayemzuia kusoma!! iLa aweke malengo yske vizuri, kama anataka promotion atakufa kwa presha.
 
Back
Top Bottom