dean of student
Senior Member
- Jun 29, 2015
- 116
- 47
- Thread starter
- #61
Balimar andikia kirefu cha iyo masters na je inatolewa chuo gani
1.Masters of education in education planning and administration.
2. Masters of education in education assessment and evaluation
3.Masters of art in educatio n menagement and planning na ya mwisho ni Masters of education in curriculum and instruction.
Je kwa ujuavyo wewe nikasomee ipi ili nipate promotion mapema au kama kuna nyingine ongeza. Asante
Duuuuuuuh mi nimesomea Bachelor of art with education hist na kisw nikajua ya kuwa nikijiendeleza naweza kuwa vizuri kiuchumi
hizo zote zitakupotezea muda tu kachukue masters ya mapishi yaani MA in cookery and catering halafu ulete mrejesho hapa promotion mapema tu na huwezi lia njaa mtaani. usiseme nimekukebehi au nimefikiri vibaya.1.Masters of education in education planning and administration.
2. Masters of education in education assessment and evaluation
3.Masters of art in educatio n menagement and planning na ya mwisho ni Masters of education in curriculum and instruction.
Je kwa ujuavyo wewe nikasomee ipi ili nipate promotion mapema au kama kuna nyingine ongeza. Asante
Kata kiu yake mkuu. Nimekutana na ndugu mwingine Ana ttzo kama la Dean . Yey amesoma bed arts..anatak akasome masters Kati ya hiz... M.A of education in assessment and evaluation-st Jordan morogoro..au MA in entrepreneurship and management udsm..nimjibujM.A Edc. Bonge la masters kwenye ualimu litakuchomoa tu maana ni broad na baadhi ya hizo masters ulizozitaja zinamezwapo
Kwa mtazamo wako abadili asisome education au akomae nayo tu. Na kwa chuo ganKiukwel hii MA Edc ni broad sana maana kuna kozi za utawala unasoma plus curriculum na option za kutosha
Hebu kirefu chake mkuu..na akaipigie chuo gan? Vip na wewe ndo upo huko?Kama ni mwajiriwa aendelee na MA Edc. itamsaidia sana. Najua watu wanasema hawaitambui MA lakin MA ni international recognized sasa hapa bongo ni swala la muda tu itatambuliwa na kama akiwa nayo itamboost asiogope
Wewe ndio nimekuelewa na udom ndio wanatoa hyooo, ila hivi vyuo vingine wamezigawanya kwa namna alivyoelezaM.A Edc. Bonge la masters kwenye ualimu litakuchomoa tu maana ni broad na baadhi ya hizo masters ulizozitaja zinamezwapo
Yaah Master of Arts in Education. Hii inatolewa udsm udom Mzumbe nadhan private wengi wanatoa za uongozi na ukaguzi.Hebu kirefu chake mkuu..na akaipigie chuo gan? Vip na wewe ndo upo huko?
Vyuo vyote vya serikali udsm mzumbe na udom wanatoa full package ila hivyo vyote unavikuta ndan kama module tu na wapo deep sana maana credit 24 na ni wiki 15 utaipenda by diamondWewe ndio nimekuelewa na udom ndio wanatoa hyooo, ila hivi vyuo vingine wamezigawanya kwa namna alivyoeleza
Asante mkuu..uko pande hizo nnVyuo vyote vya serikali udsm mzumbe na udom wanatoa full package ila hivyo vyote unavikuta ndan kama module tu na wapo deep sana maana credit 24 na ni wiki 15 utaipenda by diamond
Asante mkuu..uko pande hizo nn
Hiyo ndio Tanzania bwana, mtu anaenda kusoma ili apate promotion na siyo kutafuta maarifa.watu wa hivi unakuta wana vyeti vizurii maarifa hakuna.Ni aibu kwa msomi unayejiita Dean of Students hujui hata ukasome masters ipi itayokufaidisha wewe mwenyewe na tamaa za tumbo lako.. Hii ndiyo ile inaitwa Rat Race, ukishamaliza hiyo masters na unafuu wa maisha hujauona utarudi kusoma PhD.. Ukimaliza na hiyo PhD mambo yakiwa mabaya utaanza kulia lia kama yule Mkuu wa Mkoa aliyetoswa.. Ni aibu sana
Asante mkuuYaah
Wewe jua kuwa nakwambia kitu ninachokijua
Du...utakuwa mwanamme wa Dar wewe...unasomaje masomo ya wanawake...eti history na kiswahiliDuuuuuuuh mi nimesomea Bachelor of art with education hist na kisw nikajua ya kuwa nikijiendeleza naweza kuwa vizuri kiuchumi
Du...utakuwa mwanamme wa Dar wewe...unasomaje masomo ya wanawake...eti history na kiswahili