Nikasomee masters ipi?

Nikasomee masters ipi?

Du...utakuwa mwanamme wa Dar wewe...unasomaje masomo ya wanawake...eti history na kiswahili
Aacha dharau wewe masomo ya kike au ya kiume ni dhana ya kijuha na wengi wanaoisema ni waliosoma science na wakafeli nadhani wewe utakua mmoja wao
 
Aacha dharau wewe masomo ya kike au ya kiume ni dhana ya kijuha na wengi wanaoisema ni waliosoma science na wakafeli nadhani wewe utakua mmoja wao
Bora kufeli science kuliko kusoma masomo ya wanawake
 
Bora kufeli science kuliko kusoma masomo ya wanawake
Sawa endelea na dhana yako hio hayo masomo unayoyaita ya kike ndo yanayotupa ugali but jua wababe wa sayansi hawa mawaZo ya Kizuti kama yako wewe ni mwanasayansi Mbumbumbu
 
Balimar iyo coz ipo udom tu au na vyuo vingine
Ipo vyuo vya serikali vyote na last week nimeona Duce wameanzisha kozi tamu sana MA(Ed). Ile kozi ni nzuri maana ni miezi 24 unafanya master ya Education na somo moja la kufundishia yapo geography history linguistic swahili and french. Then unamalizia na project writing badala ya dissertation. Believe me hii kozi ni tamu hasa wale wa sec maana unakuwa fundi kwenye somo lako na application yake unaiona.
 
Back
Top Bottom