Ipo udom, st john, iringa, sua. Ina mashiko kwan ajira zake ni nyingi sana kwenye NGOs. Ila kwa kuwa umeridhika na ualimu nakushaur usome masters ya education. Ipo siku itakusaidia. Hizo masters nyingine ni nzuri kwa kutoka nje ya ualimu tena sio serikalini.Masters ya community development inatolewa na chuo gani na je ina mashiko
Kabisaa, bora uwe mjasiliamali tuu, maana M.A leo sidhani inaenda chini ya Ml 10 , sasa JIPANGE kama unazo zote hizo na nia yako ni promosheni si bora ukawe mjasiliamali huku una endelea na kazi yako
Mfano mzuri Dr. Rutengwe (ex- RC wa Morogoro).huku private sector ma ceo ni degree tu ila wana experience za kufa mtu.
kuna msemo unasema kama digrii yako haijakusaidia kuboresha maisha yako,,hata masterz na phd hazitakusaidia
1.Masters of education in education planning and administration.
2. Masters of education in education planning and administration.
3.Masters of art in educatio n menagement and planning na ya mwisho ni Masters of education in curriculum and instruction.
Je kwa ujuavyo wewe nikasomee ipi ili nipate promotion mapema au kama kuna nyingine ongeza. Asante
Umeongea vizuri sana. Hizi ndio akili za kitanzania ndugu yangu. Soma kwasababu una uhitaji wa kusoma sio kwasababu ya kupanda cheo. Usipopanda utahangaika hadi kwa wagangawhy? unaenda kusoma!!? kama unategemea promotion eti tu umesoma masters sahau!!!
soma kwa sababu za msing zaid otherwise utarud toka kusoma na stress nyingi. na no promition
Ulijisomesha au ulisomeshwa? ulisoma chuo gani? kozi gani? mimi yangu Ada kabala ya gharama zingine zozote ni 6.3 , achana na mafunzo kwa vitendo, achana hostel, achana na matibabu na Chakula, achana na nauli ya kila siku kwenda na kurudi, achana ,material ya kujisomea, wewe ulisoma wapi?Acha kumkatisha tamaa,, nna MA hata mil 5 hazkufka
Nawewe bado unaukabila? Kwan wasomi wote ni wahaya tu nchiniAcha kupoteza pesa kusoma Masters, wekeza hyo pesa yako Ndugu yangu Au labda wee Ni Mhaya.
Kasoma development management au community ila ualimu mbona wengi wanakimbia hukokwa sisi walimu kwa sasa degree si chochote wala lolote kwani wengi wanazo ivyo imefikia wakati hata kupata promotion fulani na ujuani na mtu basi uwe na elimu kupita wenzako