Milioni 10 nifungue mradi au nikasome chuo Kikuu?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,554
Wakuu habari!

Katika mihangaiko yangu nimefanikiwa kupata Million 10. At the same time mimi ni graduate mwenye degree moja tokea 2019 na sijaajiliwa.

Sasa, hapa nawaza, either kwenda kuongeza elimu au kufanya biashara/kufungua mradi.

Naombeni ushauri wenu wakuu.

Maoni yenu yatazingatiwa sana.
 
Kama una uhakika na ajira nenda kasome ila kama huna uhakika wa ajira iyo hela izungushie mdogomdogo mambo yakikaa sawa ndo uende chuo.
 
Back
Top Bottom