Karibu sana RS, jisikie uko nyumbani kabisa. Vipi umeuona mwezi lakini? Kuna uji wa pilipili manga na kalimati na bajia kwenye fridge hapo nyuma yako. Chagua upendacho ili ujichane. Utapaweza tu mradi tu usiufagilie uzembe mkubwa wa chama tawala na Serikali yake katika kuleta maendeleo ya nchi yetu.
Nami nijiunge na wadau kukukaribisha bi radhia. Karibu sana. Hapa utapaweza tu, natumai nawe umehama kule kwa facebook kama mimi baada ya kujua huku ndio kwenyewe