Knock, knock…JF

memento mori

Member
Jan 23, 2021
22
18
habari yenu ndugu zangu

WASIFU
A Man, miaka 27, im an occupational Therapist by professional pia ni mwanafunzi kwa sasa.Arsenal “the gunners fan”..ATHEIST kwa itikadi..STOIC kwa falsafa. HUMANITY kwa religion.

MUDA, si zaidi ya siku 15 tangu nijiunge JF

HAMASA: Kujifunza mambo mengi kyk nyanja mbalimbali za maisha

SABABU: sifahamu mambo mengi,na machache ninayoyafahamu bado hayanitoshelezi

MCHANGO WANGU JF;ninapenda kuwa sehemu ya mabadiliko chanya kwenye maisha ya kila mtu ambaye nature imenipa fursa ya kukutana naye..kwa msaada wa kitabibu nitafute,niko tayar kushirikiana nawe..

Ninafurahi sana kuwa mmoja wenu kwnye jukwaa kubwa la JF.
 
Stoicism is the way, I'm a stoic too.
Karibu sana JF kisima cha maarifa, home for great thinkers.
 
Karibu JF.

Naomba nikuulize; Humanism ni dini?

Kama ni dini unakuwaje Atheist?
 
Back
Top Bottom